Kumuita Diamond msanii wa kimataifa ni kichekesho

Hawa mie nishawadharau kitambo sana manake wanaonesha dalili zote za ujuha! Yaani ukiangalia energy wanayotumia kuhakikisha Chibu hafikiki kokote unafahamu wazi kwamba ni juha peke yake ndie anaweza kushindana na nguvu za Mungu!
 
Kuna mwalimu wangu ameshawahi kusema "Hakuna mzigo mzito duniani kama chuki, na ukiuta utakuwa huru"
 
Kweli wastara haumbuki!toka walivoanza kusaga sumu mwaka. Juzi mpk leo bdo haijafanya kazi. Shenzy type!
 
Mleta Mada wee Ni Mchawi Hakika, Tena Mchawi Mchanga angalia Sana.
 
nyie mlimpa sifa hasizostahili hvo fans wamechoka kumbatia ujinga
 
mbona siyo sentensi tata? kweli hujanielewa, siamin
hio ni sentens tata mkuu utata wake unakuja pale mada inamuhusu rais wa wasafi na mwana dsm afu wote wanapewa sifa so cjajua yupi anaevishwa crown ilio mzid kichwa
 
Hujambo lakini vp maendelea ya diamomd toka 2014 hadi sasa 2016
 
Kitambo hatujaonana mkuu
 
Huo ndiyo ukweli Mkuu kama Muumba wetu kishasema YES na juhudi zako ni kubwa basi wanadamu hata wakuchukie vipi lakini kamwe hawawezi kuathiri mafanikio yako.

Hii thread inathibitisha kabisa kwamba chuki, wivu na kuombeana mabaya havijawahi kushinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…