Kumuita Diamond msanii wa kimataifa ni kichekesho

Kumuita Diamond msanii wa kimataifa ni kichekesho

basi sawa diamond kashazomewa na kiba ameshangiliwa, then what?????? kwani tukiwasapoti wote itakuaje??? kwanini tunataka mmoja ashuke ndio mwingine apande? kwani itakuwaje wote wakawa juu??hicho kiti cha king sijui kipo kimoja tuu??

leo unaongea hvyooo kaka@somji juma
 
basi sawa diamond kashazomewa na kiba ameshangiliwa, then what?????? kwani tukiwasapoti wote itakuaje??? kwanini tunataka mmoja ashuke ndio mwingine apande? kwani itakuwaje wote wakawa juu??hicho kiti cha king sijui kipo kimoja tuu??

Ushauri wako ungekuwa mzuri kama ungetoa kabla ya jana.
 
basi sawa diamond kashazomewa na kiba ameshangiliwa, then what?????? kwani tukiwasapoti wote itakuaje??? kwanini tunataka mmoja ashuke ndio mwingine apande? kwani itakuwaje wote wakawa juu??hicho kiti cha king sijui kipo kimoja tuu??

Hahahaaaaa,uwiiiiiii nilikusahau...hivi ulikua wapi jana jamani????
 
eeeeh babu taleeeeerr au manuva na mzeee yamebuma....,,, nenda tena kaibe nyimbo mavoko kaza buti
 
kama unaishi kwa shemeji yako (dada ako ndio kaolewa) huwezi kulala usiku,maana muda wote shemeji akikohoa unadhani anapita kwenda ku pee lazima ushituke usogeze mattress pembeni..na saa kumi na moja lazima uwe ushaamka maana shemeji anaamka kuangalia Tv sitting room unapolala
Hahhahaha haya matusi kbsaaaa.Keshaomba pooooo.
 
Aliyefungua huu Uzi labda ni marehemu Sasa hivi...eti kaburi kwa Diamond...hahahahhahahaha
 
Naona umeamua kuwambua misukule!

Mkuu baada ya kujiunga na team wema, wamebadili ushambuliaji sasahivi ni mwendo wa matusi na ramli lakini bado mambo magumu..

Na ukitaka kujuwa chuki kwa chibu ni kubwa kuliko upendo kwa msanii wao, sasahivi karibu wote mitandaoni wameweka link za BET kupiga kura kwa wizkid, badala ya youtube link ya Kiba..
 
Back
Top Bottom