Kumuoa mwanamke ambaye hajasoma sawa na kumleta mganga wa kienyeji ndani ya nyumba

Dah! Hawa watafiti ni wengi sana siku hizi. Ngoja na mie niandae kautafiti kangu spesho!...
 
Na je mwanamke aliye soma akiolewa na mwanaume ambaye hajasoma hapo je inakuwaje?
 
Sio kweli mkuu pambana tu na hali yako mkuu

Wanaume wa dar mnahangaika sana kuoa hawo CBE felia wasio weza hata kuzungusha viuno kaz yao kuvaa wigi zinazonuka kama kichoo kidogo na kufuga mikucha bandia bandia kama majini
Mkuu samahani,
Nakuona kama una vinasaba vya ushoga?
 
Wasomi wengi miaka hii ndio wanaoongoza kwenda kwa sangoma...
Ushirikina hauna usomi ni tamaduni za watu
 
Elimu sio kigezo cha kuwa Mke mzuri, elimu ya wastani inatosha
 
Hao washirikina maofisini ni kwamba hawajasoma?!
 
Na usiombe huyo mwenye elimu akawa mchawi, manake atakuwa na exposure zaidi ya mambo ya uchawi
 
Tupe CV ya Bibi yako, mama yako , shangazi na dada zako!!
 
Yaaan kwa swala ni kuoa au kuolewa ni kitu ambacho ni kigumu sana tena sana ,maaana kila nikiamka naskia mambo mapya ya mahusiano mpka kuoa au kuolewa
 
Daaahhhhh umekosea sana mkuuuu .

Mwanamke asiye naelimu kubwa daahhhhh nimtunzaji mzuri wafamilia na anayejali mumewe kupita kiasi.


Sema nn ,,kumpata mwanamke mwema ,ndo swali !!!.
Mkuu nipeelimu kidogo tafadhali; kiuhalisia ukioa ambaye hajasoma hata sekondari, hawezi kuwa mzigo kwako?
 
Bhasi wengi tumezaliwa na wazazi waganga kama elimu ni kigezo
 
Acha upotoshaji.
Wewe kama ni maskini na unaoa ili upigwe jeki ya kipato ni shauli lako binafsi.
Sisi tunaoa mwanamke aliyetuvutia kimapenzi na mwenye tabia zinazokubalika na jamii ili kuishi naye maisha ya maelewano na kujenga familia bora.
Wewe huyo mwanamke akija kukosa kazi ya kumwingizia kipato inabidi umwache utafute tajiri mwingine.
Jitahidi kufanya kazi kwa bidii na maarifa ili uweze, wewe kama wewe, kukidhi mahitaji yako na familia yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…