Kumuoa mwanamke ambaye hajasoma sawa na kumleta mganga wa kienyeji ndani ya nyumba

Kama mama zenu waliowazaa kwa sababu hawajasoma mnawaita waganga wa kienyeji vipi kuhusu Baba yako asiesoma yeye aitwe mchawi?

Punguza nyodo na dharau kijana hata hiyo elimu na mafanikio ulionayo yamechangiwa kwa kiasi kikubwa na hao unaowaita waganga wa kienyeji
 
Hapo vip!!
Katika karesearch changu niliyofanya, nimegundua wanawake wengi ambao nwachawi na washirikina dhidi ya waume zao au watu wengine ni wanawake ambao hawajasoma.

Ukiwa mwanaume umesoma then ukamuoa mwanamke ambaye hajasoma, kama sio muelewa juu ya kuwa busy sana na mambo ya ofisini, nirahisi sana yeye kukuendea kwa mganga, akiamini akikupiga libwata hautomuache then ukawaoa wasomi wenzio.

Nb siwadharau wanawake ambao hawajasoma bali nimeona niweke ualisia ulivyo.
Nani amekudanganya kuwa maofisini huko ambako watu wamesoma na vyeo wanavyo.... kuwa hawatumii uchawi na ushirikina katika majukumu yao???
 
Tena aliyesoma maadam amekutana na wengi ,sio tu limbwata bali anakuchukua msukule kabisa!! Yeye anabaki mama mwenye nyumba
 
Wanawake walio wengi wanapenda ushirikina ushirikina, mimi sidhani kama elimu ina matter hapa..ndivyo walivyo
 
Hapo vip!!
Katika karesearch changu niliyofanya, nimegundua wanawake wengi ambao nwachawi na washirikina dhidi ya waume zao au watu wengine ni wanawake ambao hawajasoma.

Ukiwa mwanaume umesoma then ukamuoa mwanamke ambaye hajasoma, kama sio muelewa juu ya kuwa busy sana na mambo ya ofisini, nirahisi sana yeye kukuendea kwa mganga, akiamini akikupiga libwata hautomuache then ukawaoa wasomi wenzio.

Nb siwadharau wanawake ambao hawajasoma bali nimeona niweke ualisia ulivyo.
Uongo mtupu
 
Back
Top Bottom