Kumuoa mwanamke kwa kumbeba

Kumuoa mwanamke kwa kumbeba

chamaclotus

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
1,079
Reaction score
2,273
Kwema wakuu,
Hivi hii staili ya kumchukua msichana kwa nguvu yaani unatafuta majamaa mnamteka then mnabeba na kumpeleka home then mnamfungia unakaa naye unajipigia kama mwezi ndo unamfungulia je bado inafaa kwenye jamii?
 
Imepitwa na wakati. Mama yangu alibebwa hivyo..... Na walimgombania makundi mawili so naambiwa kulipigwa ngumi si mchezo.
 
na kwanini umteke wakati watu wako tayari wanahanagaika kutafuta wa kuwaoa
 
Noma sana

KATAA NDOA FOR YOUR MENTAL HEALTH'S SAKE..
 
Una dada zako walio nyumbani tuwateke? Kisha uje na bandiko lingine
 
Kwema wakuu,
Hivi hii staili ya kumchukua msichana kwa nguvu yaani unatafuta majamaa mnamteka then mnabeba na kumpeleka home then mnamfungia unakaa naye unajipigia kama mwezi ndo unamfungulia je bado inafaa kwenye jamii?
mbona minguvu mingi hivyo, wakat geto wanakuja wenyewe, wanaacha sendo na mitandio. Zamani ilikuwa hivyo kwasababu kuonana na huyo mwanamke ilikuwa shughuli nyingine, achana na kumtongoza yaani ile kumuona mpaka uvizie muda wa kwenda mtoni hapo wajuba ndio walikuwa wanapatia point za kuwabeba mzobe mzobe
 
Kwema wakuu,
Hivi hii staili ya kumchukua msichana kwa nguvu yaani unatafuta majamaa mnamteka then mnabeba na kumpeleka home then mnamfungia unakaa naye unajipigia kama mwezi ndo unamfungulia je bado inafaa kwenye jamii?
Fanya majaribio kwa dada yake abdul
 
Kwema wakuu,
Hivi hii staili ya kumchukua msichana kwa nguvu yaani unatafuta majamaa mnamteka then mnabeba na kumpeleka home then mnamfungia unakaa naye unajipigia kama mwezi ndo unamfungulia je bado inafaa kwenye jamii?
Zama zimebadilika, utakula kesi na mwanamke utamkosa
 
Back
Top Bottom