chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
mbona minguvu mingi hivyo, wakat geto wanakuja wenyewe, wanaacha sendo na mitandio. Zamani ilikuwa hivyo kwasababu kuonana na huyo mwanamke ilikuwa shughuli nyingine, achana na kumtongoza yaani ile kumuona mpaka uvizie muda wa kwenda mtoni hapo wajuba ndio walikuwa wanapatia point za kuwabeba mzobe mzobeKwema wakuu,
Hivi hii staili ya kumchukua msichana kwa nguvu yaani unatafuta majamaa mnamteka then mnabeba na kumpeleka home then mnamfungia unakaa naye unajipigia kama mwezi ndo unamfungulia je bado inafaa kwenye jamii?
Fanya majaribio kwa dada yake abdulKwema wakuu,
Hivi hii staili ya kumchukua msichana kwa nguvu yaani unatafuta majamaa mnamteka then mnabeba na kumpeleka home then mnamfungia unakaa naye unajipigia kama mwezi ndo unamfungulia je bado inafaa kwenye jamii?
Zama zimebadilika, utakula kesi na mwanamke utamkosaKwema wakuu,