- Thread starter
- #21
I get your point mkuu,,nitalifanyia kaziHuombi wafu, unamuomba mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I get your point mkuu,,nitalifanyia kaziHuombi wafu, unamuomba mungu.
Kwa mimi huwa nikiwaota wapendwa waliotangulia basi huwa nawatolea sadakaNashukuru mkuu lakini mimi siamini kwenye kuombea wafu
Kwa mimi huwa nikiwaota wapendwa waliotangulia basi huwa nawatolea sadaka
Ila ipo kwenye Imani zaidi
Huenda na hili utalikataa lakini ni vizuri kuwakumbuka kwa namna hii pindi wanapotuijia kwenye ndoto
I miss my Dad
Au sio mpambanaji....Tafuta kazi ya kufanya
Bwana mkubwa nimemwambia anipe kazi, maana si wengne kazi zetu ni za kukaa tuAu sio mpambanaji....
Hii isikupe shida,, wewe ni miongoni mwa mamilioni ya watu wanaowaota wapendwa wao waliotangulia....ila umenishangaza uliposema huwa huombei wafu...kwa maana hiyo wewe sio muislam/mkristo?Mara Ninaporudi nyumbani nilipozaliwa huwa namuota sana marehemu mama yangu 🤔
Kwa namna anavyokuja ndotoni ni mtu mpole sana, mkimya,huniangalia na kutabasamu, mara nyingi huwa namuota yupo jikoni au chumbani kwake amepumzika, maana hawezi kufanya tena kazi ngumu, labda kupika tu pekee.
Mara nyingi huja kututembelea tukiwa family nzima au wanaukoo baadhi baadhi
Muda mwingine, ni kama hunionya vitu ambayo Ata sikumbuki,
👉Nawaza huenda ni kwasababu nikirudi nyumbani masaa Machache kabla sijalala kila siku huwa nachukua dk tano hadi Lisaa kumfikiria, alikuwa kama Nyerere na aina Ile ya watu ambao Ata wakifa Yan matendo yao unajikuta unayaishi Kila siku, au lazima utamtolea mfano unakumbuka fulani alifanya ABC wakati wa uhai wake.
Lakini pia, huwa nasoma vitabu vyake viwili alivyoacha ili kujichotea hekima na madini ,haswa nyakati za usku nikiwa nimetulia
👉Karibuni, wakuu kwa michango na mitazamo, Aidha ni physics ndo inafanya kazi au ni 😅ndio wafu hutembelea watu ndotoni
Nafsi zinaonana na zinaongeaWakati nadhani namuota mtu kwasababu nipo nyumbani kwake, nikaamia dodoma, naona bado ndoto zinarudi,
Kutokana na huo mstari kutoka katika maandiko Sasa kuna haja gani ya kuombea mfuHii isikupe shida,, wewe ni miongoni mwa mamilioni ya watu wanaowaota wapendwa wao waliotangulia....ila umenishangaza uliposema huwa huombei wafu...kwa maana hiyo wewe sio muislam/mkristo?
Kwahyo ndugu unamaanisha kwamba😅Ananiita peponi siyoMnamendeana, nani amfwate mwenzie aliko
Samahani, mkuu naomba kuhojiNafsi zinaonana na zinaongea
Kuna mengi binaadamu hatuyajui ila yapo sana
Muombee na pia peleka chochote kwa yatima au hata kwa wagonjwa
Sadaka ni muhimu sana
Sio kweli mkuu, kupeleka au kutoa msaada kwa wanaohitaji sio kutafuta Kiki wala kujionyesha kwani wanaojionyesha wakati wa kutoa sio sahihi kwa kujipiga mapichaSamahani, mkuu naomba kuhoji
Mimi japo Sina utaratibu huo wa kupeleka vitu kwa watoto yatima au wagonjwa but I don't the reason behind matajiri wengi hupeleka msaada kwa hizo grupu mbili ulizotaja
Je ni CSR (giving back to community) wanafanya, ama ni kusaka fame? Na je, kuna mwanangu yeye anasemaga ukitaka pesa zako ziongezeke peleka kwa wagonjwa ama yatima?
Inamaana Sasa msingi wa kupata kusaidia wa hitaji kumbe ni kutaka kuongeza utajiri nasivinginevyo