Kumuota mtu ambaye ameshafariki inakuwa na maana gani?

Nashukuru mkuu lakini mimi siamini kwenye kuombea wafu
Kwa mimi huwa nikiwaota wapendwa waliotangulia basi huwa nawatolea sadaka
Ila ipo kwenye Imani zaidi
Huenda na hili utalikataa lakini ni vizuri kuwakumbuka kwa namna hii pindi wanapotuijia kwenye ndoto
I miss my Dad
 
Wakati nadhani namuota mtu kwasababu nipo nyumbani kwake, nikaamia dodoma, naona bado ndoto zinarudi,

Kama nimeota tukiwa kwenye mambo ya kawaida tu mimi uwa nachukulia kuwa ni wakati mwingine mzuri nilioupata wa kukaa pamoja na wapendwa wangu. Mradi isiwe ndoto yenye matukio ya kusikitisha.
 
Hii hali imenisumbua sana,ila surely ni mizimu ya familia ,+(utakuwa mchaga bila shaka) au kwenye asili ya mama yako ni watambikaji.hyo siyo hali nzuri kwa kuwa hizo Roho Huwa zinauwezo wa kuzuia baadhi ya mafanikio mpaka ufanye baadhi ya ritual ya kuridhisha mizimu husika na utakuwa umeifungulia milango rasmi kwenye uzao wako.suluhisho ni maombi ya kutosha,nilikuwa nalega nalega kwenye maombi ila nilipokaza sioti Tena ndoto za wafu.
 
Hii isikupe shida,, wewe ni miongoni mwa mamilioni ya watu wanaowaota wapendwa wao waliotangulia....ila umenishangaza uliposema huwa huombei wafu...kwa maana hiyo wewe sio muislam/mkristo?
 
Wakati nadhani namuota mtu kwasababu nipo nyumbani kwake, nikaamia dodoma, naona bado ndoto zinarudi,
Nafsi zinaonana na zinaongea
Kuna mengi binaadamu hatuyajui ila yapo sana
Muombee na pia peleka chochote kwa yatima au hata kwa wagonjwa
Sadaka ni muhimu sana
 
Hii isikupe shida,, wewe ni miongoni mwa mamilioni ya watu wanaowaota wapendwa wao waliotangulia....ila umenishangaza uliposema huwa huombei wafu...kwa maana hiyo wewe sio muislam/mkristo?
Kutokana na huo mstari kutoka katika maandiko Sasa kuna haja gani ya kuombea mfu
 
Attachments

  • Screenshot_20250116_185109.jpg
    55.8 KB · Views: 3
Nafsi zinaonana na zinaongea
Kuna mengi binaadamu hatuyajui ila yapo sana
Muombee na pia peleka chochote kwa yatima au hata kwa wagonjwa
Sadaka ni muhimu sana
Samahani, mkuu naomba kuhoji
Mimi japo Sina utaratibu huo wa kupeleka vitu kwa watoto yatima au wagonjwa but I don't the reason behind matajiri wengi hupeleka msaada kwa hizo grupu mbili ulizotaja

Je ni CSR (giving back to community) wanafanya, ama ni kusaka fame? Na je, kuna mwanangu yeye anasemaga ukitaka pesa zako ziongezeke peleka kwa wagonjwa ama yatima?
Inamaana Sasa msingi wa kupata kusaidia wa hitaji kumbe ni kutaka kuongeza utajiri nasivinginevyo
 
Sio kweli mkuu, kupeleka au kutoa msaada kwa wanaohitaji sio kutafuta Kiki wala kujionyesha kwani wanaojionyesha wakati wa kutoa sio sahihi kwa kujipiga mapicha
Na sio kila anaetoa anategemea utajiri uongezeke hapana
Kutoa sio utajiri
Huwa nashangaa watu wanaona wa kutoa ni matajiri tu

Na sadaka (charity) sio lazima mali mkuu hata tabasamu lako ni sadaka pia kwa waislam ila dini zingine au wengine sijui

Mama yangu miaka mingi sana alikuwa na tabia ya kwenda hospitali mapema asubuhi akiwa amebeba hata mikate na kwenda kuwasalimu na kuwafariji wagonjwa kwa kuwapa pole
Hana utajiri wa hela bali wa moyo
 
Kuota mtu aliyekufa mara kwa mara, ni roho ya mauti inakufatilia hapo kifo kpo karibu, Sali sana Mungu akuepushe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…