Huja
JF-Expert Member
- Aug 7, 2021
- 1,167
- 1,848
Nimejaribu kufuatilia kwa makini mechi mbili za simba dhidi ya TP MAZEMBE na Derby ya YANGA...
Zote mbili ni mechi kubwa kutoa kipimo cha Simba ya msimu mpya.
Simba niliyoizoea ya mipango katika ushambuliaji haipo kabisa...Ullikuwa unaiona kabisa simba inavyotafuta goli, mabeki wanavyopoteana wa timu pinzani kwa sababu ya mtaalamu mmoja CHAMA...Ufundi na kutulia bila papara ni mara chache nimeshuhudia ktk mpira wa kiafrika hasa kusini mwa Afrika.
Naweza kusema angeweza kuondoka Luis Miqueson na kubaki CHAMA na kwa vijana hawa KONOUTE , SAKHO na BANDA chini ya mipango ya CHAMA simba ingetisha mara mbili. Katika timu unaweza kupata forward wengi lakini ni nadra kuwapata mafundi kama CHAMA. Nalinganisha na ufundi wa ZINEDINE ZIDANE wakati fulani REAL MADRID au XAVI na Iniesta BARCELONA....Taste na brain zile huzipati kila wakati.
Tungeweza kumuuza Luis Miqueson, ila kumuuza CHAMA lilikuwa kosa kubwa hasa kwa timu iliyokuwa imeshaanza safari...