Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui mpira nenda kakate vitunguuNimejaribu kufuatilia kwa makini mechi mbili za simba dhidi ya TP MAZEMBE na Derby ya YANGA...
Zote mbili ni mechi kubwa kutoa kipimo cha Simba ya msimu mpya..
Simba niliyoizoea ya mipango katika ushambuliaji haipo kabisa...Ullikuwa unaiona kabisa simba inavyotafuta goli, mabeki wanavyopoteana wa timu pinzani kwa sababu ya mtaalamu mmoja CHAMA...Ufundi na kutulia bila papara ni mara chache nimeshuhudia ktk mpira wa kiafrika hasa kusini mwa Afrika...
Naweza kusema angeweza kuondoka Luis Miqueson na kubaki CHAMA na kwa vijana hawa KONOUTE , SAKHO na BANDA chini ya mipango ya CHAMA simba ingetisha mara mbili... Katika timu unaweza kupata forward wengi lakini ni nadra kuwapata mafundi kama CHAMA...Nalinganisha na ufundi wa ZINEDINE ZIDANE wakati fulani REAL MADRID au XAVI na Iniesta BARCELONA....Taste na brain zile huzipati kila wakati.
Tungeweza kumuuza Luis Miqueson, ila kumuuza CHAMA lilikuwa kosa kubwa hasa kwa timu iliyokuwa imeshaanza safari...
Basi ushindi wetu msimu uliopita wanajua hakina Manara na Boss Mo!Mlifungwa na Yanga na chama na Miquissone walikuwemo ila Yanga walikuwa wanapumulia mipira na mpira wa simba ulikuwa unaonekana kabisa jinsi wanavyocheza ila sio jana
Yaani unafungwa na mpira mwingi unapigiwa
Mkuu Mchambuzi Simba inakosa straika mtulivu wakuamua mechi kubwa tu,Mugalu yuko waruwaruuMmepigwa mechi 2 mfululizo.
Ata mimi ningeondoka bila kuaga.CHAMA alitaka kuondoka mwenyewe kutokana na masilahi yake tungemzuia vipi?
Na mshahara wake huo mpya wa milioni 80 ungelipa wewe???
Tuache ujuaji sana.
Hii ya kuteseka mitaani ni kweli jana nimeona wengi mkiteseka toka viunga tofauti tofauti [emoji23][emoji23], poleni sana mtani.Chama mbona kacheza Kariakoo derbies nyingi tu, na game zilikua ngumu pia. Mechi kama zile muhimu ni mtu kuhakikisha unatumia nafasi unazopata. Jana nafasi za magoli tumetengeneza nzuri tu, ila Mugalu ndo hivyo tena, kazi kutafuna big G tu.
Kagere sio mzuri sana kuhold mipira, ila ni aina ya watu kwenye nafasi mbili tegemea moja kamba.
Nadhani ifikie hatua Gomez asijisahau sana kuona anaweza kujiamulia tu chochote hata kama kinatugharimu. Kulikua na sababu gani ya Kagere kutokuepo hata bench, bila maelezo yoyote yakueleweka? Jamaa ni wazi ana chuki binafsi na Kagere, lazima ifikie hatue mashabiki tupaze sauti kwa maslahi ya club. Tunaoteseka ni sisi mitaani
Tatizo sisi mashabiki ni wepesi kusahauYaani kuna maeneo yake ya 18 wachezaji wa simba walikuwa wanafanya maamuzi ya hovyo saana, yaani chama pale anakufinya na anakuja mwingine ana mfinya tena halafu anatoa killer pass Kwa Mugalu The Animal
Mo anatuharibia Tim. Kama vip bas amuweke babra acheze uanjan maana maamuz yake yako kibiashara zaidiBoss Mo alishaanza kufokeana na Chama na baadae akahamua amuuze, yote haya ni Boss Mo.
Nashkuru sana mtani. Weekend imekua ngumu sana hii, si mitaani si mitandaoniHii ya kuteseka mitaani ni kweli jana nimeona wengi mkiteseka toka viunga tofauti tofauti [emoji23][emoji23], poleni sana mtani.
Nyie mlipigwa ngapi mfululizo kabla ya kushinda?Mmepigwa mechi 2 mfululizo.
Ujuaji mwingi sana kwa mashabiki wa bongoNimejaribu kufuatilia kwa makini mechi mbili za simba dhidi ya TP MAZEMBE na Derby ya YANGA...
Zote mbili ni mechi kubwa kutoa kipimo cha Simba ya msimu mpya..
Simba niliyoizoea ya mipango katika ushambuliaji haipo kabisa...Ullikuwa unaiona kabisa simba inavyotafuta goli, mabeki wanavyopoteana wa timu pinzani kwa sababu ya mtaalamu mmoja CHAMA...Ufundi na kutulia bila papara ni mara chache nimeshuhudia ktk mpira wa kiafrika hasa kusini mwa Afrika...
Naweza kusema angeweza kuondoka Luis Miqueson na kubaki CHAMA na kwa vijana hawa KONOUTE , SAKHO na BANDA chini ya mipango ya CHAMA simba ingetisha mara mbili... Katika timu unaweza kupata forward wengi lakini ni nadra kuwapata mafundi kama CHAMA...Nalinganisha na ufundi wa ZINEDINE ZIDANE wakati fulani REAL MADRID au XAVI na Iniesta BARCELONA....Taste na brain zile huzipati kila wakati.
Tungeweza kumuuza Luis Miqueson, ila kumuuza CHAMA lilikuwa kosa kubwa hasa kwa timu iliyokuwa imeshaanza safari...
Huyu chama ilifika kipindi game zetu na yanga tulianza hisi anafanya hujuma yeye na manaraMagoli aliyokosa Mugalu yangeingia kambani, haya maumivu nisingeyasikia.
Ukweli kunapokuwa na mechi ya Simba na Yanga. Fighting spirit ya wachezaji wa Yanga inakuwa juu kuliko ya wachezaji wa Simba.
Kilichokuwa kinambeba Luis ni kwamba alikuwa anajitolea kupambana mwanzo mwisho, hii kitu haipo kwa hawa waliobaki. Hata Chama nae hakuwa anajitoa kwenye mechi zote.
Tungeweza kumuuza Luis Miqueson, ila kumuuza CHAMA lilikuwa kosa kubwa hasa kwa timu iliyokuwa imeshaanza safari...
Nyingi sana na sasa We back in busness.Nyie mlipigwa ngapi mfululizo kabla ya kushinda?
Na mashabiki wa kibongo ninavyowajua, Gomez siku zake zinahesabikaChama mbona kacheza Kariakoo derbies nyingi tu, na game zilikua ngumu pia. Mechi kama zile muhimu ni mtu kuhakikisha unatumia nafasi unazopata. Jana nafasi za magoli tumetengeneza nzuri tu, ila Mugalu ndo hivyo tena, kazi kutafuna big G tu.
Kagere sio mzuri sana kuhold mipira, ila ni aina ya watu kwenye nafasi mbili tegemea moja kamba.
Nadhani ifikie hatua Gomez asijisahau sana kuona anaweza kujiamulia tu chochote hata kama kinatugharimu. Kulikua na sababu gani ya Kagere kutokuepo hata bench, bila maelezo yoyote yakueleweka? Jamaa ni wazi ana chuki binafsi na Kagere, lazima ifikie hatue mashabiki tupaze sauti kwa maslahi ya club. Tunaoteseka ni sisi mitaani
Kwani Simba haijawai fungwa Yanga na Chama akiwemo?Nimejaribu kufuatilia kwa makini mechi mbili za simba dhidi ya TP MAZEMBE na Derby ya YANGA...
Zote mbili ni mechi kubwa kutoa kipimo cha Simba ya msimu mpya.
Simba niliyoizoea ya mipango katika ushambuliaji haipo kabisa...Ullikuwa unaiona kabisa simba inavyotafuta goli, mabeki wanavyopoteana wa timu pinzani kwa sababu ya mtaalamu mmoja CHAMA...Ufundi na kutulia bila papara ni mara chache nimeshuhudia ktk mpira wa kiafrika hasa kusini mwa Afrika.
Naweza kusema angeweza kuondoka Luis Miqueson na kubaki CHAMA na kwa vijana hawa KONOUTE , SAKHO na BANDA chini ya mipango ya CHAMA simba ingetisha mara mbili. Katika timu unaweza kupata forward wengi lakini ni nadra kuwapata mafundi kama CHAMA. Nalinganisha na ufundi wa ZINEDINE ZIDANE wakati fulani REAL MADRID au XAVI na Iniesta BARCELONA....Taste na brain zile huzipati kila wakati.
Tungeweza kumuuza Luis Miqueson, ila kumuuza CHAMA lilikuwa kosa kubwa hasa kwa timu iliyokuwa imeshaanza safari...