Kumvua uanachama Mbatia ni batili sababu kuna zuio la mahakama kwa upande wa wanaompinga

Hii nchi siku hizi sheria hazifuatwi, hii tabia walianza watawala, wakafuatia polisi, sasa naona inazidi kusambaa, ngoja nione mwisho wake utakuaje.
 
Lile Professor la CUF mbona halifukuzwi au kibaraka wa chama kile ndio maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…