1.Misuli dhaifu ya uume,pengine uliwahi kufanya sana punyeto.
2.Mzunguko hafifu wa damu kwa sababu ya mambo kadhaa,eg lehemu kwenye mishipa ya damu,Mishipa iliyosinyaa au kiwango kisicho sahihi cha mnato wa damu( blood viscosity)
3.Magonjwa katika mfumo wa mwili,hususani yale ya mtindo wa maisha.eg Sukari,presha,vidonda vya tumbo,bawasiri n.k
4.Msongo wa mawazo.
Tiba yake ni kitibu chanzo na tatizo linatoweka lenyewe mfumo ukikaa sawa