Kumwaga mapema wakati wa tendo

Kumwaga mapema wakati wa tendo

Joined
Jun 12, 2024
Posts
28
Reaction score
38
Wakuu habari zenu. Natumaini mu wazima.

Kama title inavyosema hapo juu hivi ni kitu gani/sababu gani inayofanya kumwaga\kuejaculeti mapema ni nini sababu maana nilishawahi kufuatwa na watu kama wawili wakinieleza tatizo kama hilo sasa mimi nikishindwa kuwajibu.

Basi wakuu nilikuwa naomba kama kuna mtu anajua sababu au shida naomba mchango wenu.

Nawasilisha.
 
Mapema ni muda gani?
Humo vyumbani hatuwi wengi zaidi ya mtu mbili tu, mkitoka humo kila mtu na story yake.
Mwingine atakwambia mi nakimbia dk 40, mwingine 10+ wachache watakwambia mapema ila hiyo mapema haisemwi ni muda gani!!

Kikubwa, kama wewe sio mbinafsi kama mimi basi hakikisha mwenza wako anaridhika.
 
Mjitume, unapiga mpaka unaambiwa, kojoa baby, kojoa baby nimechoka
 
Everytime when someone asks me what is on my mind.

My mind:

20240615_132253.jpg
 
1.Misuli dhaifu ya uume,pengine uliwahi kufanya sana punyeto.
2.Mzunguko hafifu wa damu kwa sababu ya mambo kadhaa,eg lehemu kwenye mishipa ya damu,Mishipa iliyosinyaa au kiwango kisicho sahihi cha mnato wa damu( blood viscosity)
3.Magonjwa katika mfumo wa mwili,hususani yale ya mtindo wa maisha.eg Sukari,presha,vidonda vya tumbo,bawasiri n.k
4.Msongo wa mawazo.
Tiba yake ni kitibu chanzo na tatizo linatoweka lenyewe mfumo ukikaa sawa
 
Back
Top Bottom