Kumwaga nje mbegu za kiume wakati wa tendo (withdraw) na uwezekano wa kupata mimba

Joined
Aug 29, 2014
Posts
91
Reaction score
3
Jamani wanaJF,

Hivi hii njia ya uzazi wa mpango ya kujamiiana ,then ukamwaga nje mbegu zako zote pale unapo fikia kilele., Je, uwezekano wa mkeo/girlfriend kupata mimba inawezekana?

Je ni kwa kiasi gani?

Madokta na watu wenye uelewa na uzoefu naomba maoni yenu.
 
Tumia njia nyingine za uzazi wa mpango. Njia uliyoitaja haikuwezeshi kuzithibiti mbegu zote.
 
[QUOTE=Jawilat;104808 .Sote 2nafahamu fika ,kwamb pale yai la mama linapo rutubishwa na mbegu ya kiume(fertilization), ndipo mimba hutoke..Lakn wataalamu wanadai kuwa njia hii ni salama, hoja yangu je, ni kwa kiac gani?
 
inawezekana kabisa kutumika kama njia ya uzazi wa mpango ila unatakiwa uijuwe hasa inakuwaje hasa
 
Hii njia inafaa kama utakuwa na timing nzuri ya kuchomoa. Na inatakiwa ukishapiga goal usirudie tena eneo la tukio vinginevyo kuna asilimia kubwa kupata mimba sababu kunakuwa na mbegu bado ziko kwenye njia ya uzazi ya mwanaume. Vinginevyo kama unataka kurudia goal la pili ufrash kwa kukojoa na kujisafisha uume then rudi on stage for the game. Mimi hufanya hivyo na huwa ni salama.
 

Hili ndilo jibu sahihi na inawezekana only unatakiwa uwe na discipline ya kuchomoa kabla ya mbegu kukaribia uume
 
kumbe kuna watu wamekomaa humu jf,umejibu vyema,kweli kabisa mara moja tu,mkojo pekee ndio unatoa mbegu zinazobaki njiani,
 
Hii njia haihitaji rough riding. Kama mtakuwa rough riders ni ngumu sana kucontrol wazungu wasikurupukie pangoni na la kuleta madhara. Hapa speed lazima ipungue. Lazima mwende in slow motion ila mtafika ingawa itategemea uwezo wako wa kucontrol.
 
Jamani wana jf..hv hii njia ya uzazi wa mpango ya kujamiiana ,then ukamwaga nje mbegu zako zote pale unapo fikia kilele ..je uweze kano wa mkeo/girlfriend kupata mimba inawezekana??, je ni kwa kiasi gani? dr(s),na hata wenye uzoefu.u'r well come.

Dhambi kubwa sana hiyo ndugu na usirudie tena kufanya hivyo: Soma hapa chini:-

[h=3]BIBLIA: KITABU CHA MWANZOMlango 38:9 - 10[/h]1 Ikawa wakati ule, Yuda akashuka kutoka kwa ndugu zake, akamfikia mtu Mwadulami, jina lake Hira.
2 Yuda akaona huko binti wa mtu Mkanaani, jina lake Shua. Akamtwaa, akaingia kwake.
3 Naye akapata mimba, akazaa mwana, akamwita jina lake Eri.
4 Akapata mimba tena, akazaa mwana, akamwita jina lake Onani.
5 Akaendelea, akazaa tena mwana mwingine, akamwita jina lake Shela. Naye Yuda alikuwako huko Kezibu, alipomzaa.
6 Yuda akamwoza mke Eri, mzaliwa wake wa kwanza, na jina lake huyo mke ni Tamari.
7 Naye Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mbaya machoni pa Bwana; na Bwana akamwua.
8 Yuda akamwambia Onani, Uingie kwa mke wa nduguyo, ukamwoe, ukamwinulie nduguyo uzao.
9 Onani alijua ya kwamba huo uzao hautakuwa wake, ikawa, alipoingia kwa mke wa nduguye, akamwagia chini asimpe nduguye uzao.
10 Neno hili alilolifanya likawa baya machoni pa Bwana, basi akamwua yeye naye.
 
Hili ndilo jibu sahihi na inawezekana only unatakiwa uwe na discipline ya kuchomoa kabla ya mbegu kukaribia uume

Discipline hii wanaume walio wengi inawashinda wakikaribia kukojoa wanakuwa kama vile wanapigwa shoti mikono yao
 
Sio njia nzuri, utamu ukikolea waweza kupotezea...
 
Habari zenu wote natumaini muwazima...

Wakati wa kufanya sex na mtu akawithdraw ile round ya kwanzaa, hivi wakati zinatoka zile sperms si kuna baathi zinaweza zikabaki kwenye mrijaa!!?
Na kama zinaweza zikabaki je wakati wa round ya Pili si kuna majimaji yanatoka kusafisha mrija na yanaeza yakatoka na zilee zilizobakibaki kwenye mrija na kusababisha pregnancy!?

Naomba mwenye ufahamu wa hili swala aniweke sawaa maana nimekua nikifikiria kwa muda mrefu na sijapata Jibu la kuridhisha..
Nawasilishaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…