Kumwaga nje mbegu za kiume wakati wa tendo (withdraw) na uwezekano wa kupata mimba

Kumwaga nje mbegu za kiume wakati wa tendo (withdraw) na uwezekano wa kupata mimba

mmmmmh ila me naona kwa round ya kwanza ukichomoa na kujisafisha sawa pili ni cdhani ukirudia round ya pili kwani nguvu za kuskuma mbegu imepungua so haipo kwenye high speed so mimba bado probability
 
mmmmmh ila me naona kwa round ya kwanza ukichomoa na kujisafisha sawa pili ni cdhani ukirudia round ya pili kwani nguvu za kuskuma mbegu imepungua so haipo kwenye high speed so mimba bado probability
Sijakuelewa hapa, unamaanisha goli la pili haliwezi kutungisha mimba?
 
Mzee hii njia lazima uwe professional na uwezo wa timing nzuri. Pia baada kutoa nje hakikisha unaenda kukojoa na kuosha kwa maji ile sehemu ya juu then utakuwa tayar kuendelea.
 
mmmmmh ila me naona kwa round ya kwanza ukichomoa na kujisafisha sawa pili ni cdhani ukirudia round ya pili kwani nguvu za kuskuma mbegu imepungua so haipo kwenye high speed so mimba bado probability
Njia nzuri sana ila sijawahi kufanikiwa hii njia. Nikikaribia tu nasema liwalo na liwe.
 
Habari zenu wote natumaini muwazima...

Wakati wa kufanya sex na mtu akawithdraw ile round ya kwanzaa, hivi wakati zinatoka zile sperms si kuna baathi zinaweza zikabaki kwenye mrijaa!!?
Na kama zinaweza zikabaki je wakati wa round ya Pili si kuna majimaji yanatoka kusafisha mrija na yanaeza yakatoka na zilee zilizobakibaki kwenye mrija na kusababisha pregnancy!?

Naomba mwenye ufahamu wa hili swala aniweke sawaa maana nimekua nikifikiria kwa muda mrefu na sijapata Jibu la kuridhisha..
Nawasilishaa
Soma komenti za mwanzo, suala lako limezungumziwa kwa ufasaha na Japkas
 
Me mwenyewe hua nahisi kinachosababisha mimba ni goli la kwanza kwa sababu linakua jingi na linatoka kwa kasi inayoweza kuzipa nguvu mbegu za kusonga mbele na kutungisha mimba
Ila kuanzia goli la pili linakua kidogo na tunajua ili mimba itokee ni lazima mbegu kama million nne ziwepo
Hua nahisi hivo ingawa sina uhakika
 
kumwaga nje ni dhambi hiyo ni punyeto asilia.... mi nakushauri ni bora ukapiga nyeto kuliko kufanya afu unamwaga nje..
Jamani wanaJF,

Hivi hii njia ya uzazi wa mpango ya kujamiiana ,then ukamwaga nje mbegu zako zote pale unapo fikia kilele., Je, uwezekano wa mkeo/girlfriend kupata mimba inawezekana?

Je ni kwa kiasi gani?

Madokta na watu wenye uelewa na uzoefu naomba maoni yenu.
 
Back
Top Bottom