Kumwaga nje mbegu za kiume wakati wa tendo (withdraw) na uwezekano wa kupata mimba

Tayari keshanasa huyo. Bao la kwanza ni hatari sana.
 
Nakushauri upate haja ndogo kwanza kabla ya safari ya pili
 
Withdrawal method haiko na uhakika wa 100%. Nenda kwa wataalamu uelimishwe njia sahihi itakayoendana na mipango yako ya karibuni. Precum inaweza kubeba mbegu pia.
 
Withdrawal method haiko na uhakika wa 100%. Nenda kwa wataalamu uelimishwe njia sahihi itakayoendana na mipango yako ya karibuni. Precum inaweza kubeba mbegu pia.
Usingetoa utaalam kwenye hili ningeomba bwanshemej anirimuvu kwa muda
 
Kwani wewe lengo la kuwithdrwal ni nini? kama si kutaka kupata mautamu,
Tumia CONDOM hilo swali lako hautakuwa nalo, la sivyo useme unahisi ana/una mimba wakati uli/ali withdraw Epicauta elbovitata
 
Last edited by a moderator:



Huwa natumia hii lakini sometimes huwa ni ngumu balaa na ukilosea kidogo tu umeumia..mwanaume kujicontrol wakati ndio ana mwaga si kazi rahisi.heri jaribu kutumia nyingine hii hiwe ya ziada tu..
 
Mi hii nilimudu sana kui control inahitaji uwe na nidham sana ya kimaamuzi pia usafi kila utemapo mzigo lazima unawe au kuoga kabisa then ukojoe. But is too risk kama sio mkeo/mpenzi wa kudumu.
 
mim nishafanya sana hii,tena ni vizur u-do ukiwa unahisi unamkojo so ukishamwaga wazungu nje kwa timing unaenda kukojoa ili kusafisha njia na kuondoa mbegu zote kwenye mrija,
N.B:ukicheza tu unakojolea ndani kama kuku mwenye mdondo!
 
Hii njia niliitumia ikaniaibisha balaaaaaa. Nafika kukojoa tu na demu ndo anafikia kilele cha mwisho kwa raha ya ajabu, si kaning'ang'ania na kunibana kwa mkono yake! !! Kitu cha cha cha aaaaa. ...toto likatunga. Kwa mwanamke mwenye nyege za mwehu usijaribu hii njia, hatareee
 
Tumia njia nyingine za uzazi wa mpango. Njia uliyoitaja haikuwezeshi kuzithibiti mbegu zote.

Inawezekana kabisa, mimi ndio njia nayotumia hivyo, cha msingi hakikisha unaenda kuflash njia kwa kukojoa mkojo mara baada ya tendo kama mnataka kuendelea.

Ila yataka moyo kama sio mzoefu maana
 
Kwanza ukimwaga njee unachoka mapema kitu ndaaani
 
Haya mandiko misiwe mnakariri aliuwawa siyo kwa sababu Ali mwaga mbegu nje Bali aliuawa kwasababu hakutii maagizo ya Mungu kumzalia nduguye watoto kupitia Mke wa nduguye,lakini unapo mwaga nje kwa mkeo inakuwa ni kwaajili ya starehe,kwasababu siyo kila unapo sex na mkeo inakuwa nia ni kupata watoto,msikariri misitari ya bibilia elewa kwa nini aliuwawa.
 
Umemjibu vema hizo injili poli kabisa. Inamaana kila mbegubinatakiwa kurutubisha? Je mkeo anapokua mjamzito na bado mnakutana for sex unadhani zile mbegu zinaenda wapi kama si chooni?? Tusijitow ufahamu kutumia maandiko vby. Mungu wetu ameturuhusu kutumia akili zetu vizuri ametuzuia tu kuzitumainia badala ya kumtumaini yy.

Huwezi kuwa Mkriato mzuri mwenye maisha yenye ushuhuda ikiwa unazaa kama ndezipanya idadi ya watoto usiowamudu vema kimatunzo. Huo utakua ni ujinga na utakua umewatenda mambo mabay wanao kwa makusudi.

Tubadilike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…