Kumwaga shahawa kidogo na si nyeupe

Kumwaga shahawa kidogo na si nyeupe

Maroun MU

Member
Joined
Jul 21, 2012
Posts
97
Reaction score
4
Msaada........nina rafiki yangu ana kuwa ananisumbua jii ya hili ya kumwaga shahawa kidogo wakati wa ngono na hizo shahawa haziwi nyeupee....je ana matatizo gani au ni maumbileee tuu au hali vyakula vyenye kileta shahawa nying...majibu wataalam wa hili
 
Acha kumsingizia rafiki yako.
 
hahahahhaahhahaha........hl la punyeto...analijuaa uzur...h
 
Msaada........nina rafiki yangu ana kuwa ananisumbua jii ya hili ya kumwaga shahawa kidogo wakati wa ngono na hizo shahawa haziwi nyeupee....je ana matatizo gani au ni maumbileee tuu au hali vyakula vyenye kileta shahawa nying...majibu wataalam wa hili

Kuwa makini na uandishi wako mkuu! Unaweza ukapata kashfa tehe tehe tehe!
 
Sema tu ni wewe acha kutuzuga..acha kula chips yai visoseji mwanaume kandamiza ugali..maharage..mboga majani...siio ukikaa dukani kwenye hiyo boutique unaona siifa kula kiepe na soda
 
Msaada........nina rafiki yangu ana kuwa ananisumbua jii ya hili ya kumwaga shahawa kidogo wakati wa ngono na hizo shahawa haziwi nyeupee....je ana matatizo gani au ni maumbileee tuu au hali vyakula vyenye kileta shahawa nying...majibu wataalam wa hili

Umejuaje kuwa unamwaga shahawa chache?

Nani aliyekueleza kuwa rangi ya shahawa ni nyeupe?

Rafiki yako anamwaga shahawa za rangi gani?
 
Msaada........nina rafiki yangu ana kuwa ananisumbua jii ya hili ya kumwaga shahawa kidogo wakati wa ngono na hizo shahawa haziwi nyeupee....je ana matatizo gani au ni maumbileee tuu au hali vyakula vyenye kileta shahawa nying...majibu wataalam wa hili

Kila anayeleta Topic hapa, utasikia ...nina rafiki yangu....nina ndugu yangu...etc ID fake na bado unaogopa?
 
Msaada........nina rafiki yangu ana kuwa ananisumbua jii ya hili ya kumwaga shahawa kidogo wakati wa ngono na hizo shahawa haziwi nyeupee....je ana matatizo gani au ni maumbileee tuu au hali vyakula vyenye kileta shahawa nying...majibu wataalam wa hili

Zinatoka za rangi gani?
 
Tiba ninayo,,mwambie aje hapa buguruni sokoni,,,,nitampa karanga mbichi,,miogo mibichi,,,supu ya pweza nzito na maparachichi,,,kutwa mara 3,,,baada ya wiki akajaribu,,atatoa kitu cheupe alafu kizito balaaa,,,,kama chokaa au mavi ya fisi
 
Back
Top Bottom