Kumwagiana maji siku za kuzaliwa ni ushamba wakisasa

Watu mbona waonevu hivi???, mbona mkulu hamkumwagia maji pale white house siku ile ya kuzaliwa kwake??
[emoji23][emoji23][emoji23]

Kama ulimwagia mtu maji lazima atakuvizia naye akumwagie tui
 
Mara ya mwisho kufanya hii kitu ilikuwa kabla ya mwaka 2001 sijamaliza o-level nakumbuka hostel ndio tulikuwa tunafanya hivi baada ya hapo basi tena
 
Hehehehe kwanza sina urafiki na kenge wa aina hiyo nina marafiki smart ambao hawana upuuzi huo na akija kutokea mmoja mwenye akili hizo atarudi nyumbani hana kitu kimoja katia ya hivi.

Nyonga au kiuno.
Don't look smartness when it come to funny moment.
 
Mkuu mtoa mada hiyo kampani ya kukumwagia maji kwanza unayo tuanzie hapo maana sio unaongea sipendi Burger nawakati kumbe pesa yenyewe huma.
 
Mkuu mtoa mada hiyo kampani ya kukumwagia maji kwanza unayo tuanzie hapo maana sio unaongea sipendi Burger nawakati kumbe pesa yenyewe huma.
Hahaha haina tofauti Sipendi kwenda Marekani kumbe huna nauli. Hao wanaomwagiana maji sio vichaa hawawezi kukumwagia maji bila we muhusika kuwa na interest na hayo mambo. Tuwaache vijana waenjoy maisha miili ya kwao maji ya kwao we unakereka nini. Wao kumwagiana maji kunakwamisha vipi dili zako za kila siku?!
 
Mkuu ukiwaendekeza wana JF kila muda wanafikili ni kukaa na kudiskasi ufugaji na kulima tu kuna muda wa funny things, angalia Malwedhe dance watu wapo Ofisini lakini wana practice Malwedhe challenge.
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…