QUOTE=Buchanan;743351]Hapa ndugu Kibori ndipo inavyoonyesha jinsi ulivyopotea njia au huna uzalendo! Kutegemea kwamba TAKUKURU wadeal na watu karibu MILIONI 40 wakati wao ni minute ni number bila msaada wa wananchi kutoa taarifa labda kazi hiyo anaiweza malaika tu! Vyombo vingine vya dola km Polisi huchukua taarifa za wahalifu toka kwa Raia wema. Wanajeshi huwa nao wanapata taarifa za intelijensia toka kwa raia wema (JWTZ walimshinda Idi Amin kwa sababu ya ushirikiano mkubwa waliouonyesha wananchi wa Uganda), nk. Sasa unapodai eti wanachi wanapewa mzigo ulitaka mzigo huo waje waupewe akina nani? Nchi hii itajenjwa na kila mmoja, sio baadhi, wengine wakiwa watazamaji, kama kwenye mpira wa miguu![/QUOTE]
Mzee Naona hujaelewa au umeamua kutoelewa !
Mimi nimesema hivi tena narudia, vyombo vyetu TAKUKURU if you like has dissappointed law abiding citizens " raia wema" kwa lugha rahisi tena, ni hivi kama tunajua kuwa vyombo vyetu are genuine it gives moral wananchi kutoa taarifa but kama vyombo vyetu havipo MAKINI kama Takukuru, moral ya kutoa information haitokuwepo na huwezi kutoa lawama kwa wananchi kama wewe ni Mzalendo kweli you can not force or influence wananchi kuendelea kulipa KODI natoa mfano wakati makusanyo yanaliwa na wachache Mafisadi if you like ! Ndio point ambao narudia kuendelea kusema.
Vyombo vya serikali vikishindwa kufanya kazi walizoajiria kufanya huvunja moral ya watanzania wenye nia njema ! Mfano mwingine kama polisi hawatunzi siri na hawafanyii kazi taarifa wanazopewa na wasamaria wema nani wakulaumiwa .... ???
Lazima vyombo vyetu ndio vijidhatiti kwanza then citizens next... Kwa jinsi unavyosema wewe you want citizens who have no security, (little knowledge, not trained ) wawe ndio wakwanza kufanya kazi then wale ambao wameajiria kufanya kazi vyombo vyetu viwe vya PILI katika jukumu hili ? HAPANA ! Kiongozi na wananchi katika mapambano kama haya nani awe MBELE na nani awe NYUMA kati
(a) Viongozi
(b) Wananchi
Hii itakuwa ni ufisadi baadala ya viongozi wetu au vyombo vyetu viwe vya mbele vinakuwa nyuma.... Yaani watu wenye security, mafunzo, previllages, wenye kulipwa kwa kazi hiyo ndio wawe wa mwisho kupambana ..... Please give me a break !
What is role of the goverment na vyombo vyake kwa raia ?
I am not disputing kwamba raia wasitoe taarifa lakini lazima vyombo vyetu ndio viwe mstari wa mbele then citizens next kwa lugha nyingine wananchi wasamaria wema wanakuwa motivated na kazi nzuri tu. BILA hivyo you can not forge !