Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,728
Ndio maana imeagizwa mwanaume amuoe mwanamke. Inapotokea mwanamke akamuoa mwaname hiyo ndoa haiwezi kudumu.
Ndoa anayolewa mwanaume hukoma mara tu pale mwanamke atapomchoka mwanaume au hamu (genye) zitakapoisha.
Nimepata taarifa mitandaoni kuwa yule kijana aliyekuwa akiishi kinyumba na 'dada ake' amepigwa chini. Hili si jambo la kumshitua mtu mzima yeyote anayejua mtiririko au fomula za mahusiano zinavyo kwenda.
Kwangu mimi ninafurahia kuwa kijana au mdogo wetu sasa amewekwa huru ili aweze kuishi maisha ambayo kijana mwingine wa kiume anatakiwa aishi. Embu fikiria unasikia mdogo wako au ndugu yako kahamia nyumbani kwa mwanamke na analelewa unapata machungu kiasi gani! Jambo hili kwangu mimi limekuja kama faraja lakini likiwa na funzo kwa vijana wengine kuwa mwanume haolewi na akiwekwa ndani kinyumba basi anything can happen any time.
Hongera sana kijana kwa kuwekwa huru. Pia ni wakati wa dada yetu kutafuta mtu wa rika lake atulie naye...