Kumwagwa kwa flani iwe fundisho kwa 'Serengeti boys' na wote wanaolilia mashuga mummy!

Kumwagwa kwa flani iwe fundisho kwa 'Serengeti boys' na wote wanaolilia mashuga mummy!

vijana wa ki-bongo hivi hata mna-enjoy kweli mambo kweli maana unakuta kijitu kifupiiii kicheza shoo kinang'ang'ania Jimama hilooo!!! Mtakufa mkiwa macho nyie!
mkuu acha wivu we unawatamani lakin hauwapati
 
Kama hamtaki kusema wazi ni wakina nani pigeni kimya mnatuchosha.... wengine tunasomaga The Citizen na The Guardian sasa mkileta mambo as if kila mtu anasoma udaku mnakua mnazingua
Hahahaaa The citizen na the gurdian lakini jf kwenye jukwaa la udaku hahahaaa mkuu umenifurahisha
 
Ahahahaaaaa...ukisikia mtu mzima anasutwa ndo leo.....walikua wanafanyia promo wimbo mpya waitwa ganda la ndizi
hawanampango wa kuachana!!!
Siku hizi nimeanza kujifunza ubuyu..hebu niambie my sister ni kina nani hao?
 
Inaonekana watoto ni watamu ee maana shilole hataki kabisa wanaume wakubwa,sasa hivi ana kitoto tena ,ngoja nije nijaribu kitoto nione ladha yao ipoje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndio maana imeagizwa mwanaume amuoe mwanamke. Inapotokea mwanamke akamuoa mwaname hiyo ndoa haiwezi kudumu.
Ndoa anayolewa mwanaume hukoma mara tu pale mwanamke atapomchoka mwanaume au hamu (genye) zitakapoisha.

Nimepata taarifa mitandaoni kuwa yule kijana aliyekuwa akiishi kinyumba na 'dada ake' amepigwa chini. Hili si jambo la kumshitua mtu mzima yeyote anayejua mtiririko au fomula za mahusiano zinavyo kwenda.
Kwangu mimi ninafurahia kuwa kijana au mdogo wetu sasa amewekwa huru ili aweze kuishi maisha ambayo kijana mwingine wa kiume anatakiwa aishi. Embu fikiria unasikia mdogo wako au ndugu yako kahamia nyumbani kwa mwanamke na analelewa unapata machungu kiasi gani! Jambo hili kwangu mimi limekuja kama faraja lakini likiwa na funzo kwa vijana wengine kuwa mwanume haolewi na akiwekwa ndani kinyumba basi anything can happen any time.

Hongera sana kijana kwa kuwekwa huru. Pia ni wakati wa dada yetu kutafuta mtu wa rika lake atulie naye...
Nani huyoooooooooo mkuu usimumunye hakuoni ebu tupe jina..
 
Back
Top Bottom