tatanyengo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 1,133
- 280
Wanawake nchini Burundi wana mazoea ya kuwaandalia wenza wao kondoms wanaposafiri. Je, hiyo inamaanisha kuwa wanaume hawawezi kuvumilia? Na kitendo cha kupewa kondoms na mke hakiwezi kuonekana ni kuhalalisha tendo nje ya ndoa? Mnasemaje wana JF!
Hi kweli kaaali.... Mume wangu mimi nimpakilie condom??? Hio safari tunaenda woote???..... Nitarudi....
Hi kweli kaaali.... Mume wangu mimi nimpakilie condom??? Hio safari tunaenda woote???..... Nitarudi....
Hi kweli kaaali.... Mume wangu mimi nimpakilie condom??? Hio safari tunaenda woote???..... Nitarudi....
Hahahaha!!!!! KAMA UNAMPENDA UTAMLINDA Lol!!!!!kwanza akazifanyie nn, akazile? aclogwe hata niikute mfukoni kwake kwa bahati mbaya.
ahahahaa,,,kama hamuendi wote si mwenzio atakuja kukupatia virus zake alizozipata huko hahahah yabidi umfungashie tuu na hiyo kitu akiba hahah lool,,
kwanza akazifanyie nn, akazile? aclogwe hata niikute mfukoni kwake kwa bahati mbaya.
Hahahaha!!!!! KAMA UNAMPENDA UTAMLINDA Lol!!!!!
Hahahaha!!!!! KAMA UNAMPENDA UTAMLINDA Lol!!!!!
LOL...LOL... Nimeipenda hiyo.. zingekua zinaliwa i would have considered....
Tuangalie na upande mwingine... na wewe mwanamke ukisafiri na yeye akuandalie?
wacha tu, ni kama vie namtayarishia chakula cha safari...mxsii wanapata wanawake nao hao.
Hahahah nyamayao katika hili nimekupenda zaidi loh...................eti unaupamba udhaifu wake na kumpa signal kabisa kuwa hata ukimfumania utamwelewa kwa kuwa tayari ulikwisha mwelewa kabla duh............zamani I had a different perspective on this but not now..its a BIG NO. KWa sababu hata ukimfungashia kwa nia ya kumkinga una uhakika gani anazitumia?? na ni nani alisema ni kinga 100% why put yourself at risk??
Hivi kwanza kwa nini nimpakie mimi? ina maana yeye hajipendi mpaka akumbushwe yote hayo?Kulindana hakuko hivyo.... Hayo ni deliberate maumivu.... na wala siwi conviced.
Umeona eeeh! Unafikiri basi wao wanaelewa hilo... wanaona sawa ... hata chakula ukila ovyo njiani wakati wa safari waweza rudi home unaendesha mana mara nyingi ni vichafu kila mtu anagusa na waandaji wenyewe wamekaa kibiashara.... Usafi saa ngapi....
Hivi kwanza kwa nini nimpakie mimi? ina maana yeye hajipendi mpaka akumbushwe yote hayo?