Kumwandalia mme wako kondom anaposafiri!

Kumwandalia mme wako kondom anaposafiri!

Hivi kwanza kwa nini nimpakie mimi? ina maana yeye hajipendi mpaka akumbushwe yote hayo?

FUNNY! Kumwandilia kondomu ni kama ku-approve infidelity kwa mumeo.
let the trust protect him while he is away because when he is by yourside he is yours.
 
unaweza vukamfungia,na yeye akanunua zake,hizo ulizomfungia akarudi nazo.ki ukweli ndoa bila uaminifu jamani si ndoa.ila in reality kila kitu utaambiwa uvumilie tu
 
No
ni ngumu sana
kumwekea condom kama kuhalalisha anayokwenda kufanya huko
akishindwa vumilia ajilinde mwenyewe
 
No no!siyo vizuri hii ni kuhalalisha ngono,ni bora kuamini anafanya kimya kimya kuliko kumwonyesha wazi na kumruhusu akafanye
 
wanawake nchini burundi wana mazoea ya kuwaandalia wenza wao kondoms wanaposafiri. Je, hiyo inamaanisha kuwa wanaume hawawezi kuvumilia? Na kitendo cha kupewa kondoms na mke hakiwezi kuonekana ni kuhalalisha tendo nje ya ndoa? Mnasemaje wana jf!


huyo sio mkeo huyo ni spiritual wife..aka jini mahaba ukipewa hivyo means na yeye ashajigaia yake anasubiri ukiandoka anaaze kuzitumia..sasa kazi kwako kama umeoa umeolewa hapo??
 
........mke naye akisafiri unamfungashia LADY PEPETA ..akapepete mbele kwa mbele..hahahahahahaha...
 
Mhhh yaani ni kama namwambia nenda ka s...x salama huko uendako, haiwezekani atanunua mwenyewe hukohuko kama si mwaminifu
 
........mke naye akisafiri unamfungashia LADY PEPETA ..akapepete mbele kwa mbele..hahahahahahaha...

Loooooo hizo nzito sana kubwa sana sidhani kama kuna mtu anazifurahia hizi
 
Nafikiri ni utamaduni wao! Bongo nani atafanya upuuzi huo? Yaani Fisi apelekewe mwana mbuzi mdomoni lol....
 
Unamfungashia 20 akirudi anakwambia zimebaki 5 au nimemaliza
utajisikiaje?

 
Unamuwekea condom kwani yeye hajui zinakouzwa??? Mie wangu kwanza hataki hata BP zisizo na sababu aniwekee halafu nikija zimekwisha ajue nimetenda dhambi?? Yanini yote hayo
 
Back
Top Bottom