Wanawake nchini Burundi wana mazoea ya kuwaandalia wenza wao kondoms wanaposafiri. Je, hiyo inamaanisha kuwa wanaume hawawezi kuvumilia? Na kitendo cha kupewa kondoms na mke hakiwezi kuonekana ni kuhalalisha tendo nje ya ndoa? Mnasemaje wana JF!
unaweza vukamfungia,na yeye akanunua zake,hizo ulizomfungia akarudi nazo.ki ukweli ndoa bila uaminifu jamani si ndoa.ila in reality kila kitu utaambiwa uvumilie tu
Wanawake nchini Burundi wana mazoea ya kuwaandalia wenza wao kondoms wanaposafiri. Je, hiyo inamaanisha kuwa wanaume hawawezi kuvumilia? Na kitendo cha kupewa kondoms na mke hakiwezi kuonekana ni kuhalalisha tendo nje ya ndoa? Mnasemaje wana JF!
mmh mambo ya ndoa magumu, u should always leave a room for dissapointment
True trueThat is the most dumbest, stupidest thing ever!!
what next? watakata vinanii vyao wawape wanaume wao wasafiri navyo....:dance:
inaelekea wanawake wa huko burundi hawajiamini,if you decide to be a door mat,people will step on you!...i cant see myself doing this,ni kama umempa fursa/uhalali wa kwenda kufanya ngono huko nje,[COLOR=red] kama ni magonjwa usidhanie ukimpakia condom ndio guarantee atazitumia..[/COLOR].
Yule anayebaki ku nyumba hajamweka wazi mumewe au mumewe hajamwachia lady pepeta, je mke akisafiri nae apewe?? mume anaweza fanya hivyo??Code:inaelekea wanawake wa huko burundi hawajiamini,if you decide to be a door mat,people will step on you!...i cant see myself doing this,ni kama umempa fursa/uhalali wa kwenda kufanya ngono huko nje,[COLOR=red] kama ni magonjwa usidhanie ukimpakia condom ndio guarantee atazitumia..[/COLOR].
azitumie asizitumie bado hakuna la kufanya hapo.................................na hata huyo anayebaki kwa mnyumba.....who knows what is going on in her pretty skull............