Kumwendea Al Ahly Zanzibar sio dawa, Percy Tau na Aliou Dieng hawarogeki

They did it against simba sports club with mikael gamond and jesus moloko leading the front line before the game during warming up session in which they poured a lot of water in every angle of the pitch and mikael gamond at the centre of the pitch in short yanga they belives in superstition than any other team in NBC premier league.
 
Galaxy wamepewa hayo madude na Yanga ndiyo maana walichofanya uwanjani kabla ya mechi kinafanana na kile walichofanya Yanga kwenye dabi. Simba wanapoenda kucheza nao katika mechi zote mbili wasipojiandaa kama vile wanacheza na Yanga kuna jambo litatokea
 
Kwahiyo kwa akili zako nawe unaamini kuwa uchawi unaleta mafanikio kwenye mpira?
 
Yanga wajipange. Mwarabu wa Al Ahly inaonekana hatanii. Tau kapunzishwa asicheze game huko Misri ili ajiandae zaidi kuikabili Yanga..uto mwaka huu mnalo

 
Akili zenu ni za ajabu sana, yaani hapo ndio umefikiria ukafikia kikomo? Yanga ampe Galaxy hayo madude ili Yanga afaidike na kipi kwa Galaxy?
Kama Yanga wanaamini kuhusu hayo madude si angeenda wao kuyatumia kule Algeria kuliko kuwapa Galaxy? Ufikie hatua muwe mnatumia vyema akili.
 
Yanga wajipange. Mwarabu wa Al Ahly inaonekana hatanii. Tau kapunzishwa asicheze game huko Misri ili ajiandae zaidi kuikabili Yanga..uto mwaka huu mnalo

View attachment 2827456
Nyie mnaongea hivyo utafikiri mnaongoza kundi vile kumbe mmetoa sare na timu zilizo chini kwenye rank za CAF. Mpaka sasa hakuna mechi hata moja mlioshinda msimu huu wa mashine ya CAF.
 
Yanga hawezi kupata ushindi mbele ya Al Ahly. Sio kwamba Yanga ni mbovu, ni vile tu hawana uzoefu wa mechi za CAF Champions League.
Uzoefu unasaidia nini kama timu haichukui kombe au medali Kwenye mashindano makubwa ya caf ??
 
Nyie mnaongea hivyo utafikiri mnaongoza kundi vile kumbe mmetoa sare na timu zilizo chini kwenye rank za CAF. Mpaka sasa hakuna mechi hata moja mlioshinda msimu huu wa mashine ya CAF.
Nyie mmeshinda ipi? Mna point 0 kati ya 3 mlizotakiwa kuwa nazo.
 
Sasa unachobisha ni nini? Kwneye derby hamkufanya mambo ambayo hao Galaxy wanatuhumiwa kuyafanya pale uwanjani kabla ya mechi?
 
1979Magufuli, Sayville et al yule mshirikina mwenzenu GENTAMYCINE yuko wapi? Maana kwenu kila kitu ni ushirikina. This is the 21st century please! Pathetic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…