Kumwomba msamaha mpenzi wako mliepishana sana umri ni ngumu sana, wengine mnawezaje?

Kumwomba msamaha mpenzi wako mliepishana sana umri ni ngumu sana, wengine mnawezaje?

Ulipatwa na nini hukutokea sehemu mliyokubaliana? Inawezekana lilikuwa jambo genuine kabisa limekufanya usifike.... Hukukumbuka hata kumjulisha kuwa hutaweza kufika!? Je ni mara yako ya kwanza kutokutokea mnapokubaliana? Ukifanyiwa wewe hivi ulivyofanya haina shida hata kidogo? Maana yawezekana yeye pia aliacha mambo ya msingi akaenda mlikokubaliana halafu hujatokea.
For sure leo nmemkosea ndo maana nmediriki hata kumwomba msamaha, yote ni kwa sababu nilikua na mpenzi wangu mwingine
 
Imagine mwanaume unapishana na mpenzi wako kwa zaidi ya miaka mitano af eti ukae kumwomba msamaha zaidi ya lisaa lakini haelewi 😀 aisee

Huyu nishambembeleza mpaka nmechoka kisa nilimwambia leo tutameet ila sijatokea ndo kamind siku nzima wakati kazaliwa 2004.!! think i should just swallow my pride..
View attachment 3138570

Wengine mnawezaje? Especially nyie masponsa
Si mnachunguliana kipimo cha umri mmekifuta
 
Imagine mwanaume unapishana na mpenzi wako kwa zaidi ya miaka mitano af eti ukae kumwomba msamaha zaidi ya lisaa lakini haelewi 😀 aisee

Huyu nishambembeleza mpaka nmechoka kisa nilimwambia leo tutameet ila sijatokea ndo kamind siku nzima wakati kazaliwa 2004.!! think i should just swallow my pride..
View attachment 3138570

Wengine mnawezaje? Especially nyie masponsa
mImi hua namtumia dalali ambae hufanikisha misamaha yangu
Namba yake ni 0978654678
 
For sure leo nmemkosea ndo maana nmediriki hata kumwomba msamaha, yote ni kwa sababu nilikua na mpenzi wangu mwingine
Kuna mwana jf mwenzetu alileta uzi kiwa alipishana na mpenzi wake mwezi wa August 2024. Na kufikia mwezi October akatangaziwa ndoa

Wewe bwana lolote likupate
 
Back
Top Bottom