Kumwomba msamaha mpenzi wako mliepishana sana umri ni ngumu sana, wengine mnawezaje?

For sure leo nmemkosea ndo maana nmediriki hata kumwomba msamaha, yote ni kwa sababu nilikua na mpenzi wangu mwingine
 
Si mnachunguliana kipimo cha umri mmekifuta
 
mImi hua namtumia dalali ambae hufanikisha misamaha yangu
Namba yake ni 0978654678
 
For sure leo nmemkosea ndo maana nmediriki hata kumwomba msamaha, yote ni kwa sababu nilikua na mpenzi wangu mwingine
Kuna mwana jf mwenzetu alileta uzi kiwa alipishana na mpenzi wake mwezi wa August 2024. Na kufikia mwezi October akatangaziwa ndoa

Wewe bwana lolote likupate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…