Hii picha inatrend sana hasa Tanzania ikizungumziwa masuala ya mvua na mafuriko.
Naomba picha hii ikiwa full.
Yaani nyumba full.
Kuna 10,000/= cash kabla ya saa 06:00 asubuhi.
Nipe picha ya hii nyumba ikiwa full na paa lake hili linaloonekana kama lilivyo
Karibuni kwenye mpambano.
10,000 cash kabla ya saa 6:00 asubuhi.
View attachment 2962593View attachment 2962594
Juu mtandao wa Phoenix na chini ni Wasafi media japo mitandao kama TBC, Clouds, Efm na mitandao mbalimbali huwa wanaionesha sana hii picha.