Mjina = Mjinga ✅Miongozo ya kijinga hatunaga ushirika nayo..!!! Ukiwa mjinga, haijalishi wa dini au imani gani, ni mjina tu..!!
akili mnemba sio...🤣Huyo ana matatizo ya afya ya akili
Kuna mambo mengine unaona kabisa watu mnajitafutia misongo ya mawazo; yaani huyo Mungu anayetaka muda wote umuwaze yeye tu yaani hajatoa maagizo ya kufanya vingine ?Watu wanaoishi maisha ya mungu ni wachache hivyo Lazima aonekane kituko, lakn gari hiyohiyo, itokee ajali au kutekwa utasikia Eeh Mungu tusaidie, lkn huyo Mungu hataki vitu flani acheni, hamsikii hiyo ndiyo Dunia Ilivyo, watu wanaomcha Mungu hawafurahii mziki wa Dunia pia Mungu hapendi, wote waliomzomea hawataki hayo mambo ya mungu huo ndo ukweli ukubali au ukatae Hali iko hivyo
Hilo la muziki ni katika hayo mengine aliyotoa maagizo yaachweKuna mambo mengine unaona kabisa watu mnajitafutia misongo ya mawazo; yaani huyo Mungu anayetaka muda wote umuwaze yeye tu yaani hajatoa maagizo ya kufanya vingine ?
njia ya kukwepa hoja!Nyimbo zote ni za kidunia, ziwe gospel, kaswida, hip-hop, bongofleva... Hakuna nyimbo iliyotoka mbinguni...
Kivip mkuu?njia ya kukwepa hoja!
Kulikua na bendi Gani kipindi cha Yesu ndugu yangu?Hilo la muziki ni katika hayo mengine aliyotoa maagizo yaachwe
Kwani yeye kasema anataka mziki wa yesu?Kulikua na bendi Gani kipindi cha Yesu ndugu yangu?
Utakatifu au ni upumbavu? "usijihesabie haki..." walokole tunakwama wapi Wakuu?Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund
Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.
Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Wanakuwaga wajinga wajinga sana,. Kama yule ambaye alisema jana eti Lissu anakunywa maji hadharani sijui nini