King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Ana tatizo la afya ya akili huyo.....Kusikiliza nyimbo anaona dhambi wakati huo huo anazini na anakunywa mapombe ,msengenyaji na mfitini juu.Mwamba ameshuka kabisa hataki ujingaš, ame-fume sana, na wala hajaomba refund
Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.
Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?