Kuna abiria kaleta zogo hapa anasema bila wao kuzima nyimbo za kidunia atashuka na wala nauli hataki kurudishiwa na wataiona hasira ya Mungu

Mwamba ameshuka kabisa hataki ujingašŸ˜‚, ame-fume sana, na wala hajaomba refund

Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.

Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Ana tatizo la afya ya akili huyo.....Kusikiliza nyimbo anaona dhambi wakati huo huo anazini na anakunywa mapombe ,msengenyaji na mfitini juu.
 
Mwamba ameshuka kabisa hataki ujingašŸ˜‚, ame-fume sana, na wala hajaomba refund

Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.

Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Hata kwa Nuhu ilikuwa hivyo hivyo watu walimcheka na kumdharau na kumkebehi, Unakumbuka ya Lutu ilikuwa hivyo hivyo watu wakataka kuwalawiti na malaika
 
Lini na wapi thibitisha hizo sio hadithi ni matukio ya kweli.
 
KuonyeshaāŒ
Kuoneshaāœ…
1000022640.jpg
 
Mwamba ameshuka kabisa hataki ujingašŸ˜‚, ame-fume sana, na wala hajaomba refund

Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.

Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Huyo hata baiskeli hana
 
Wangejielewa watu wa usafiri wangeweka free wifi inatosha na Kila mtu anasikiliza na kuangalia anachohitaji, anayejiskia kulala alale kujipumzisha bila bughudha yoyote hivyo yaan, lkn nani mwelewa? Wote wameigana.

Hiyo ni kwenye ndege tu. Tena zile za kimataifa/masafa
 
Huenda huyo atakuwa mFGBF-Kakobe.
Wanakwambia ni watu wa viwango vya Utakatifu.
Nampongeza dereva na kondakta kwa msimamo wao!
 
Lini na wapi thibitisha hizo sio hadithi ni matukio ya kweli.
Mwanzo 19:5-8
[5]Wakamwita Lutu, wakamwambia, Wa wapi wale watu waliokuja kwako usiku huu? Uwatoe kwetu, tupate kuwajua.

[6]Lutu akawatokea mlangoni, akafunga mlango nyuma yake.

[7]Akasema, Basi, nawasihi, ndugu zangu, msitende vibaya hivi.

[8]Tazama, ninao binti wawili ambao hawajajua mtu mume, nawasihi nitawatolea kwenu mkawafanyie vilivyo vyema machoni penu, ila watu hawa msiwatende neno, kwa kuwa wamekuja chini ya dari yangu.
 
Ningeshuhudia huo mkasa huyo mwamba ningempa lift mpaka aendako.Ni shujaa halisi wa mambo ya kijinga yanayoendelea nchini.
Mabasi yarudi kama zamani,Yang'olewe vishikizo vyote vya skrini za vidio na maspika.Kila mtua anavyo kwake atafungua akipendacho.
Hili jambo tukiithamiria linawezekana maana makampuni mengi ya mabasi wamiliki tunaswali nao tunaweza kuanza kwa kuwasisitizia baada ya kila swala waspige hzo nyimbo kwenye mabassi yao nasiyo kufanya uharibifu wakuzing'oa vishkiz mkuu
 
Kivip mkuu?
Maudhui na mantiki yanatakiwa yazingatiwe ili mjadala uonekane ni wa watu ambao walau wana upeo fulani wa usomi. Ukiona mjadala umechangamka halafu anatokea mtu kusahihisha typing error ambazo ni kawaida kujitokeza, huyo atawatoa kwenye maudhui na huenda hoja ipo nje ya upeo wake
 
Na najua kwamba asilimia kubwa ya watu wanaompinga ni watu wa dini ila wakiwa kwny dini zao ni watakatifu, pia kusikiliza nyimbo hizo ni kukaririshwa ujinga, mara jibebe, mara kwkwi, nyegenyegezi na ujinga nyinginezo.
 
Mwanzo 19:5-8
[5]Wakamwita Lutu, wakamwambia, Wa wapi wale watu waliokuja kwako usiku huu? Uwatoe kwetu, tupate kuwajua.

[6]Lutu akawatokea mlangoni, akafunga mlango nyuma yake.

[7]Akasema, Basi, nawasihi, ndugu zangu, msitende vibaya hivi.

[8]Tazama, ninao binti wawili ambao hawajajua mtu mume, nawasihi nitawatolea kwenu mkawafanyie vilivyo vyema machoni penu, ila watu hawa msiwatende neno, kwa kuwa wamekuja chini ya dari yangu.
Sungura huwa anaongea na fisi ni kweli kabisa uthibitisho huo hapo
1732858648615.jpg
 
Mwamba ameshuka kabisa hataki ujingašŸ˜‚, ame-fume sana, na wala hajaomba refund

Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.

Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?

Mabasi mazuri yapo mengi tu. Tatizo hamsalimii, mnajifanya mko busy sana. Wenzenu tunapanda mabasi ambayo muda wote tunasikiliza mambo ya peponi tu. Mpaka unafika mwisho wa safari inakuwa muurwa kabisa.

Muwe mnasalimia watu ili mvae viatu

Mwamba ameshuka kabisa hataki ujingašŸ˜‚, ame-fume sana, na wala hajaomba refund

Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.

Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Kwa hana usafiri mbadala, basi ajitahidi awe na smartphone na earphones Ili akiingia kwenye usafi wa umma awe anavaa earphone zake ana connect na simu yake kisha aweke anachotaka, mawaidha au Qaswida.
 
Mwamba yupo sahihi , na hayo maneno yote yanatumika kwenye kiswahili , katika hali tofauti za muundo wa sentensi.

Kuonesha =hutumika katika hali ya kuona kitu kwa njia ya moja kwa moja .

Kuonyesha=ni neno pana zaidi katika kufanya jambo liwe wazi zaidi.

ephen_

Ya pili inatokana na kitenzi kuonya. Ambayo ni tofauti na kuona.
Interlacustrine R yuko sahihi
 
Back
Top Bottom