Kuna abiria kaleta zogo hapa anasema bila wao kuzima nyimbo za kidunia atashuka na wala nauli hataki kurudishiwa na wataiona hasira ya Mungu

Na najua kwamba asilimia kubwa ya watu wanaompinga ni watu wa dini ila wakiwa kwny dini zao ni watakatifu, pia kusikiliza nyimbo hizo ni kukaririshwa ujinga, mara jibebe, mara kwkwi, nyegenyegezi na ujinga nyinginezo.
Unajua mkuu haya mambo yana utata sana. Nkweli nyimbo za sku hizi zina matusi, lakin ujud kwamba miaka ya 2000s nyimbo za bongoflavor zilionekana zina matuzi au za kihun,hasa zilipo linganishwa na zile za akina Marijan Rajab, M Mwisheye na akina L Ongara. Lakin saiv zile nyimbo za 2000s znaonekana za heshima kulinganisha na za siku 2020s.

Kwahyo hata hizi tunazo ziona zina matusi leo, tutakuja ziona zina afadhari miaka ya 2030+.

Ninachikiona ni mtu kushika ulicho nacho na pia kushauri au kukataza kwa mazingira unayoweza kuyacontrol maana ndo mwenendo wa dunia ulivo.
 
Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund

Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.

Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
nashauri wamsikilize. binafsi huwa sipendi pia. unapanda gari zingine za waislam mno, ila mle ndani unakutana na mziki watu wananengua viuno hadi unafika, miziki watu wamevaa vibaya, manyimbo ya diamond alikiba sijui hamonize, nikifika huwa naanza kuomba Mungu anitakase kwa sababu nafsi na mawazo kila kitu kimechafuka. kama hamjui, hayo manyimbo ukiangalia huwa na upako wakishetani ambao unaambukiza kukuchafua. ni sawa na umekaa chooni kwa liwaa limoja au umesimama mahali penye kinyesi, ukiondoka lazima mwili utanukia kinyesi.
 
Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund

Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.

Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Afya ya akili
 
Upumbavu wenu tu Mungu alikataa lini muziki?
 
Hao lutu na nuhu walikaa kimya? Umesema walihubiri ni sawa, na ndo alichofanya huyu jamaa, kuhubur ni Ima uamrishe jambo jema au ukataze jambo ovu.
Kwa mazingira yalivyo kama sijaelewa vibaya nkwamba huyo mpendwa alitaka watu wazime huo mziki. Kama angepewa nafas ya kuwahubiri angewaachia homework mioyon mwao hata kama angeendelea nao katka safari.

Japokuwa hatuhukumu maana inategemeana na Roho alimuongoza kivip katika hilo.
 
Gujamaa gunakosoa kweli kweli yaani ukitaka kuguudhi basi andika habari yoyote alafu ukosee herufi .

Ngoja nimkorofishe uone .

Kaka Interlacustrine R nambiye burother ,uko pande zipi sasa ivi kaka mukubwa?
Mkuu hata nami nina madhaifu mengi tu katika uandishi ila acha ukweli ubaki jinsi ulivyo.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Alitaka huo mziki uzimwe nami nimeelewa hivyo, na hailazimishi kuwahubiria, Bali kule kutaka kuzimwa mziki ni kukataza uovu, shida ikaja abiria wengi hawataki Hilo jambo hii inamaanisha ni watu wachache wanaotaka mambo ya mungu yafanyike
 
na angesema ashuke, akashuka kweli, angeshuka na wengi manake wengi wenye akili wasingejua hatima ya safari yao kwenye hilo basi.
 
na angesema ashuke, akashuka kweli, angeshuka na wengi manake wengi wenye akili wasingejua hatima ya safari yao kwenye hilo basi.
Hapana kwa Hali halisi angeshuka mwenyewe, kwani hao abiria wengi ndo walioleta zogo, wee angalia hata coment za humu nyingi zinamkejeli
 
Mi najaribu kujiuliza hivi aliewambia hao wenye magari kuwa abiria wanataka mziki au movie ni nani, wengine tukiwa safarini tunataka utulivu mi naona bora wasiweke kitu chochote pakae kimya tu
 
Alitaka huo mziki uzimwe nami nimeelewa hivyo, na hailazimishi kuwahubiria, Bali kule kutaka kuzimwa mziki ni kukataza uovu, shida ikaja abiria wengi hawataki Hilo jambo hii inamaanisha ni watu wachache wanaotaka mambo ya mungu yafanyike
Unajua mkuu hilo jambo hata mkiwa bible study church halina jibu moja. Swali la kujiuuliza ni je kila akipanda kwenye gari huwa anafanya hivo akikutana na situation hiyo?. Au kwamba wapendwa wote wanapokutana na hali kama hiyo huwa wanafanya kama alivofanya?.
Ndo maana nkasema yamkin alipata mskumo wa ndani kufanya hayo maamuzi. Maana kuokoka tuu sio ticket ya kukataza vitu kama hivo kwa mazngira kama hayo.
 
Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund

Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.

Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Mlimchelewesha! Mngemlambisha makofi!
 
kama hamkumpa VIBOKO, hamjamsaidia bado kutoka kwenye ujinga wake,...
 
Mwamba ameshuka kabisa hataki ujinga😂, ame-fume sana, na wala hajaomba refund

Abiria wengine wamemzomea ashuke tu kwa maana anajiona yeye mtakatifu kuzidi wote.

Vp kwa upande wako uaonaje hii ishu na pia ungei solve vp?
Alitoa buku ten ya noti ama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…