Unajua mkuu haya mambo yana utata sana. Nkweli nyimbo za sku hizi zina matusi, lakin ujud kwamba miaka ya 2000s nyimbo za bongoflavor zilionekana zina matuzi au za kihun,hasa zilipo linganishwa na zile za akina Marijan Rajab, M Mwisheye na akina L Ongara. Lakin saiv zile nyimbo za 2000s znaonekana za heshima kulinganisha na za siku 2020s.Na najua kwamba asilimia kubwa ya watu wanaompinga ni watu wa dini ila wakiwa kwny dini zao ni watakatifu, pia kusikiliza nyimbo hizo ni kukaririshwa ujinga, mara jibebe, mara kwkwi, nyegenyegezi na ujinga nyinginezo.
Kwahyo hata hizi tunazo ziona zina matusi leo, tutakuja ziona zina afadhari miaka ya 2030+.
Ninachikiona ni mtu kushika ulicho nacho na pia kushauri au kukataza kwa mazingira unayoweza kuyacontrol maana ndo mwenendo wa dunia ulivo.