Mynd177
JF-Expert Member
- Dec 3, 2022
- 2,817
- 5,141
Naomba kufundishwa na ww.Utadanganywa na mafundisho yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kufundishwa na ww.Utadanganywa na mafundisho yake
Sawa mkuuNaomba kufundishwa na ww.
Nani aliyewahi waelewa akabaki Hai??? Ukiona umeanza kuwaelewa ujue kifo kipo karibu yakoWanawake generally ni viumbe wema sana.
Jitahidi uwaelewe wanawake wala hutakuja kuwalaumu humu.
Vijana mnapaswa mrudishwe shule kufundishwa kuhusu wanawake.
Nashukuru niliwaelewa wanawake mapema sana na sitakaa niwalaumu hata siku moja, wanawake ni viumbe wema sana. Wanawake ni moja ya viumbe wa baraka sana kuwepo Duniani.
Wanawake wote Mungu awabariki sana. Poleni sana kwa changamoto zote mnazopitia kwenye maisha, mahusiano nk.
They are crowded architect as well.
Una viashiria vyote vya mwanamke mkorofi.Unanitakaa !et unanipendaa !basiiiiiiii ntongozee.....
Pesa inafanya nn utakacho maishani ,unàchagua ulee mbususu ya aina ganii ,mambo yakulalamikia wanawake yamepitwa na wakati ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na watu wote.Waisrael
Ukitaka kumfahamu mwanamke utaumia sana.. kikubwa wewe simama kama mwanaume inatosha.. kama hujanielewa namna ya kusimama kama mwanaume achana na wanawake utakufa bure..
Nyuzi za kuwashambulia wanawake zimekuwa nyingi sana.
Hivi ni kwanini?
Nahisi Kuna jambo haliko sawa hasa Kwa sisi wanaume.
Hakuna jipya chini ya jua, pamoja na mambo kubadilika huuukweli hauwezi badilikaMambo yamebadilika sana
HahahaAfadhali kuwa single maisha yako yote kuliko kufa mapema mikononi mwa mchawi. Wanawake wengine ni kama wachawi tu, kila siku wanaroga wanaume wa kuwatesa, wanapenda ndoa na huwa ni 'wanyenyekevu' kabla ya ndoa Ila baada ya ndoa hubadili kila kitu.
Baadhi ya wanawake ni watendaji wenye viituko - kila kitu wanataka kiende watakavyo wao . Hawana hisia ya huruma na hawapo tayali kubadilika. Wao ni wenye hisia kali, wenye hasira kali na wanaopenda kuwaka kwa hasira kamilifu.
Wanaweza kulipuka kwa usumbufu mdogo tu. Hakuna kitu kizuri cha kutosha kwao. Wao hujiona ni wa muhimu sana kuliko wanaume. Wanahoji kila kitu. Hawamwamini kamwe mwanaume. Wanamtilia shaka mwanaume kwa kila kitu.
Wanapenda kujua kila kitu hata kama ni jambo dogo. Hata ufanye nini au uvumilie vipi , mwanaume huwezi kamwe kukidhi mitazamo yao ya kukusumbua.
Daima wanapenda kuwa na neno la mwisho. Na kamwe hawakubali kuwa wamekosea.
Fedha siku zote ni idara yao. Wanaamua jinsi pesa itakavyotumika.
Mwanaume mwenzangu (hasa wewe ambaye hujaoa) usije kuishi na mwanamke kituko mwenye kudhibiti kila kitu nakushauri usiishi na mwanamke mkorofi, utakufa kabla ya muda wako kufika.
Ni heri ukae kwenye kona ya paa la nyumba yako (Mithali 25:24) na umngoje Masihi.
Ubarikiwe.View attachment 2478760
Heshima yakoAfadhali kuwa single maisha yako yote kuliko kufa mapema mikononi mwa mchawi. Wanawake wengine ni kama wachawi tu, kila siku wanaroga wanaume wa kuwatesa, wanapenda ndoa na huwa ni 'wanyenyekevu' kabla ya ndoa Ila baada ya ndoa hubadili kila kitu.