joseph_mbeya
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,123
- 2,935
Inakuaje wakubwa ...poleni na mihangaiko ya hapa na pale niende kwenye mada moja kwa moja
Kuna aina fulani hivi za marafiki wao apo muda kidogo walikuwa ni marfiki zetu kindaki ndaki lakini baada ya muda maisha yakatutenganisha na wao mfano mimi nipo zanzibar yeye yupo mbeya lakini unakuta jamaa akupigii simu ata miezi sita ata wewe umpigii simu miezi sita lakini sio kwamba kuna shida mahali nope hakuna shida lakini kila hikitokea kakupigia yeye lazima hakuombe kakitu .....
Unakuta jamaa ajakupigia simu kama miezi mitatu hivi lakini hakikupia simu anakuomba pesa
vipi kwa upande wako unaishi vipi na watu namna hii
Kanye west__real friends