joseph_mbeya
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,123
- 2,935
Hivi zanzibar mnatumia USD? Mbeya tunatumia hela ya madafu kujida ugimbiinakuaje wakubwa ...poleni na mihangaiko ya hapa na pale niende kwenye mada moja kwa moja
kuna aina fulani hivi za marafiki wao apo muda kidogo walikuwa ni marfiki zetu kindaki ndaki lakini baada ya muda maisha yakatutenganisha na wao mfano mimi nipo zanzibar yeye yupo mbeya lakini unakuta jamaa akupigii simu ata miezi sita ata wewe umpigii simu miezi sita lakini sio kwamba kuna shida mahali nope hakuna shida lakini kila hikitokea kakupigia yeye lazima hakuombe kakitu .....
unakuta jamaa ajakupigia simu kama miezi mitatu hivi lakini hakikupia simu anakuomba pesa
vipi kwa upande wako unaishi vipi na watu namna hii
kanye west__real friends
Niwe tu muwazi sipendagi kabisa uandishi wa hivi mfano neno "Ikitokea" mtu anaandika "Hikitokea"inakuaje wakubwa ...poleni na mihangaiko ya hapa na pale niende kwenye mada moja kwa moja
kuna aina fulani hivi za marafiki wao apo muda kidogo walikuwa ni marfiki zetu kindaki ndaki lakini baada ya muda maisha yakatutenganisha na wao mfano mimi nipo zanzibar yeye yupo mbeya lakini unakuta jamaa akupigii simu ata miezi sita ata wewe umpigii simu miezi sita lakini sio kwamba kuna shida mahali nope hakuna shida lakini kila hikitokea kakupigia yeye lazima hakuombe kakitu .....
unakuta jamaa ajakupigia simu kama miezi mitatu hivi lakini hakikupia simu anakuomba pesa
vipi kwa upande wako unaishi vipi na watu namna hii
kanye west__real friends
Hakikupigia lazima hakuombe kitu. Kama ndiho hivo basi husimupe kitu hachana nahe.inakuaje wakubwa ...poleni na mihangaiko ya hapa na pale niende kwenye mada moja kwa moja
kuna aina fulani hivi za marafiki wao apo muda kidogo walikuwa ni marfiki zetu kindaki ndaki lakini baada ya muda maisha yakatutenganisha na wao mfano mimi nipo zanzibar yeye yupo mbeya lakini unakuta jamaa akupigii simu ata miezi sita ata wewe umpigii simu miezi sita lakini sio kwamba kuna shida mahali nope hakuna shida lakini kila hikitokea kakupigia yeye lazima hakuombe kakitu .....
unakuta jamaa ajakupigia simu kama miezi mitatu hivi lakini hakikupia simu anakuomba pesa
vipi kwa upande wako unaishi vipi na watu namna hii
kanye west__real friends
kweli mkuu kama mimi nimeishia form one niishindwa kuendelea na shule kiukweli hata matumizi ya R na L nimejua hivi karibuNiwe tu muwazi sipendagi kabisa uandishi wa hivi mfano neno "Ikitokea" mtu anaandika "Hikitokea"
Neno "akikupigia" umeandika "Hakikupigia" Yaani matumizi ya "H" sehemu isiyostahili!
Halafu cha ajabu unakuta watu kama hawa mmeajiriwa na serikali ya CCM
naweza pata maarifa zaidi kutoka kwako kuhusu hilo ni vipi naweza tofautisha kati rafiki na jamaaVijana wengi hawajajua kutofautisha "rafiki" na "jamaa"
Jamaa/swahiba ni mtu wako unayejuana naye, Anaweza kuwa jirani au mfanyabiashara mwenzio.naweza pata maarifa zaidi kutoka kwako kuhusu hilo ni vipi naweza tofautisha kati rafiki na jamaa
Huyo siHo rafiki ni muHomba hela tu.Inakuaje wakubwa ...poleni na mihangaiko ya hapa na pale niende kwenye mada moja kwa moja
Kuna aina fulani hivi za marafiki wao apo muda kidogo walikuwa ni marfiki zetu kindaki ndaki lakini baada ya muda maisha yakatutenganisha na wao mfano mimi nipo zanzibar yeye yupo mbeya lakini unakuta jamaa akupigii simu ata miezi sita ata wewe umpigii simu miezi sita lakini sio kwamba kuna shida mahali nope hakuna shida lakini kila hikitokea kakupigia yeye lazima hakuombe kakitu .....
Unakuta jamaa ajakupigia simu kama miezi mitatu hivi lakini hakikupia simu anakuomba pesa
vipi kwa upande wako unaishi vipi na watu namna hii
Kanye west__real friends
Wape code mzeeVijana wengi hawajajua kutofautisha "rafiki" na "jamaa"
NakaziaNiwe tu muwazi sipendagi kabisa uandishi wa hivi mfano neno "Ikitokea" mtu anaandika "Hikitokea"