Kuna aina mbili za mke

Kuna aina mbili za mke

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Kama mnavyojua wana Jf leo nimewaletea aina mbili za Mke Aina zenyewe ni hizo hapo[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

1:Aina ya kwanza ni mke anayemsikiliza mumewe, anayemtii na kuelewa anachotaka, mpole, mvumilivu, mwenye subra.. Na hata mumewe anapokasirika yeye humtuliza kwa tabasamu linalovutia...

2: Na aina ya pili ni yule mke ambae kila mmoja anae hapa usiulize sifa zake nafikiri kama una mke utakuwa unazijua..!



[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Good day.!
 
Huyo wa pili ndiye niliyeachana naye ni majanga kqa kweli
 
Ukibadili sifa za mke wa kwanza utazipata za mke wa pili hahahahahahaha
 
Mnakuwa wawili ndani lakini aliyeko nje anaona mko kama club ya yanga n full mabishano
 
Back
Top Bottom