Kuna aina moja ya nyimbo za zamani nazitafuta

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,380
Reaction score
1,686
Ilikuwa nikizisikiliza zamani mwenye redio free Afrika (RFA)
Au redio Tanzania daresalaam (RTD)

Ni nyimbo flani hivi msanii anaimba ila ni kama anaongea story flani hivi za masikitiko.

Mara anataja SHAMBA mara sijui TOKA EE

Ni aina fulani hivi za nyimbo nikama msanii analalamika hivi.

Yaani hapa najaribu zitafuata mda sasa bila ya mafanikio.

Sijui ni za msanii gani sijui ni Tanzania sijui KENYA au UGANDA.

JAMANI WAKONGWE EM MKUJE MNISAIDIE BWANA
 
unaizungumzia ile ya
"Ilikuwa asubuhi iii na mapema aaghaaa jua linachomoza aaa

Siku hiyo nilipatwa na msituko usiosemekana aaa

Niliposikia habari kumetokea na ajali ya kutisha aaa

Kwenye daraja la Salenda magari mawili iii yamegonganaaa maaama."

Au unazungumzia MERIMELA ?
 
Hapana
 
Ningekuwa karibu na wewe ningekutoa taya kwa ngumi nzito. Nakerwa Sana jitu Zima linatumia Wingi kwenye umoja. "Nyimbo inaitwa" ni kitu gani ? Hovyo kabisa
 
unaizungumzia ile ya
"Ilikuwa asubuhi iii na mapema aaghaaa jua linachomoza aaa

Siku hiyo nilipatwa na msituko usiosemekana aaa

Niliposikia habari kumetokea na ajali ya kutisha aaa

Kwenye daraja la Salenda magari mawili iii yamegonganaaa maaama."

Au unazungumzia MERIMELA ?
Wimbo uliouongelea hapo mwanzo unaitwa Zuwena umeimbwa na marehemu Marijani Rajabu Jabali la muziki.
 
Hiyo ilikuwa ni jingle ya kipindi cha 'TWENDENI SHAMBANI'

Ulikuwa wimbo jamii ya old taarabu, kama sitakuwa mbali kipindi kilikuwa ni kati ya saa 8 na 10 baada ya taarifa ya habari RTD.
 
Mijitu ya JF mibinafsi, inaangalia sura ndiyo inakupa jibu, kama haikujui haikupi jibu.

Nimeshauliza sana humu lakini mpaka leo watu wanantazama tu, hawanijibu wala nini. Nauliza kundi la miaka ya 90, lilikuwa linadili na Khwaito za instrumental. Kundi lenyewe linaitwa MOB MASTERS (siyo ZAMALEK MOB CLUB MASTERS). Wimbo mmojawapo wa hili kundi ni PALAMBA. Hawa jamaa walikuwa ni moto wa kuotea mbali.
 
Back
Top Bottom