Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,380
- 1,686
Shambani x2 mazao bora shambani haya twendeni shambani mazao bora shambani ndio huo naukumbuka
Huo huoShambani x2 mazao bora shambani haya twendeni shambani mazao bora shambani ndio huo naukumbuka
Hapanaunaizungumzia ile ya
"Ilikuwa asubuhi iii na mapema aaghaaa jua linachomoza aaa
Siku hiyo nilipatwa na msituko usiosemekana aaa
Niliposikia habari kumetokea na ajali ya kutisha aaa
Kwenye daraja la Salenda magari mawili iii yamegonganaaa maaama."
Au unazungumzia MERIMELA ?
Ngoja nijaribuBingula Bingula wa amado sinyonza
Ningekuwa karibu na wewe ningekutoa taya kwa ngumi nzito. Nakerwa Sana jitu Zima linatumia Wingi kwenye umoja. "Nyimbo inaitwa" ni kitu gani ? Hovyo kabisaIlikuwa nikizisikiliza zamani mwenye redio free Afrika (RFA)
Au redio Tanzania daresalaam (RTD)
Ni nyimbo flani hivi msanii anaimba ila ni kama anaongea story flani hivi za masikitiko.
Mara anataja SHAMBA mara sijui TOKA EE
Ni aina fulani hivi za nyimbo nikama msanii analalamika hivi.
Yaani hapa najaribu zitafuata mda sasa bila ya mafanikio.
Sijui ni za msanii gani sijui ni Tanzania sijui KENYA au UGANDA.
JAMANI WAKONGWE EM MKUJE MNISAIDIE BWANA
Bingula Bingula wa amado sinyonza
SamahaniNingekuwa karibu na wewe ningekutoa taya kwa ngumi nzito. Nakerwa Sana jitu Zima linatumia Wingi kwenye umoja. "Nyimbo inaitwa" ni kitu gani ? Hovyo kabisa
Anataka alie kaachikaHii dunia ina watu wana vituko sana, kulikoni unatafuta nyimbo za masikitiko Mkuu?
Mdakuzi nimekumbuka ulivyoniambia kuhusu kutaja wimbo nimecheka sana.
Wimbo uliouongelea hapo mwanzo unaitwa Zuwena umeimbwa na marehemu Marijani Rajabu Jabali la muziki.unaizungumzia ile ya
"Ilikuwa asubuhi iii na mapema aaghaaa jua linachomoza aaa
Siku hiyo nilipatwa na msituko usiosemekana aaa
Niliposikia habari kumetokea na ajali ya kutisha aaa
Kwenye daraja la Salenda magari mawili iii yamegonganaaa maaama."
Au unazungumzia MERIMELA ?
Ni wimbo mmoja mzuri sana mkuu.Wimbo uliouongelea hapo mwanzo unaitwa Zuwena umeimbwa na marehemu Marijani Rajabu Jabali la muziki.
Hiyo ilikuwa ni jingle ya kipindi cha 'TWENDENI SHAMBANI'Huo huo