Kuna aina ngapi za misuli?

Kuna aina ngapi za misuli?

mambo yanabadilika sasa hivi kuna sayari nane sio tisa tena pitia kitabu cha physics kidato cha nne
 
What should be done?

Kingine tunaogopa mabadiriko.
K
Kuhusu vitabu, kila kitabu kina ubora wake, ukitaka kitabu bora, nunua kitabu cha aina ya Nelkon nk,

Taasisi inayo husika na masuala ya elimu Tz may be wamechoka, na suala la maslahi katika kampuni husika nalo linachangia.

Kitu kingine ni kwamba, mara nyingi huwa hatujari hata ubora wa uandishi wetu, tukiona kama unaeleweka basi tunafanya, mfano wewe hapo PHD umeiandika ndivyo sivyo, na hujali, you take it simple, sababu tumekuelewa ulitaka uandike nini, Phd.

Mfano mwingine, sisi watu wa sayansi, pH sacale huandikwa kwa herufi ndogo ya "p" na kubwa kwa "H" yaani hivi pH, lakini ukiangalia watu wengi wanavyo iandika utashangaa, and they dont care, si umeelewa?

Binafsi vitabu vya nyambari Nyangwine nilikuwa sipendi kabisaa kuvisoma, ila ndio vilivyopo na ndio vitabu vilivyo ruhusiwa na T.I.E, tufanyaje?

Tangazo la haki elimu liko sahihi, linatusaidia kujua mapungufu yetu katika sekta nzima ya elimu.

PhD iko sawa. Doctor of Philosophy (PhD). Fuatilia
 
mambo yanabadilika sasa hivi kuna sayari nane sio tisa tena pitia kitabu cha physics kidato cha nne

Hatukatai, tatizo ni uandishi usio na tija na wa kukurupuka. Kama umesoma mathematics chukua kitabu cha Nyambari book 4, angalia mtiririko wake na worked example hasa probability then urudi hapa ku support
 
Kweli mabadiliko yanahitajika.
Me nakumbuka nilipokuwa kidato cha tano vilikuja vitabu vya historia na geografia shuleni (darasani) vikatangazwa na wanafunzi wakavinunua, cha ajabu akaja mwalimu wa somo la geografia akadai eti vitabu vile ni vya danganya toto na havitakuwa na usaidizi kama ilivyodhaniwa awali.Sasa wanafunzi tukabaki tunajiuliza hivi vitabu vimechunguzwa na walimu wa masomo husika ndio vikapitishwa kwa mwalimu mkuu, sasa iweje tena viwe havina msaada kwetu .
 
yani kuna mchanganyiko wa hali ya juu
 
mambo yanabadilika sasa hivi kuna sayari nane sio tisa tena pitia kitabu cha physics kidato cha nne

unajua kuna vitabu vingapi vya physics vya form four?
 
Wadau wa JF nimefurahishwa na tangazo linalo rushwa na haki elimu dhidi ya mkanganyiko wa vitabu mashuleni.

"Kuna aina ngapi za misuli? "

Elimu yetu na kizazi kinachofuata imevamiwa. Huwa nashindwa kuelewa kama PhD zinatolewa kihalali hapa nchini au ni za kutunukiwa (sifa ). Kampuni kama za Nyambari Nyangwine zinawashushia heshima wasomi wetu. Kudhihirisha hili unaweza kuangalia vitabu alivyotoa Nyambari Kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha nne hasa Science na hisabati. Ukilinganisha vitabu hivi na vingine kama Principal of physics, aboot, nelkon, Lambert, artikson, understanding maths nk utaona mapungufu yanayosababishwa na waandishi wa kitanzania. Ajabu ni kwamba pamoja vitabu hivyo kuwa chini ya kiwango lakini vina mkono na baraka za serikali. Wakuu wa shule wanalazimishwa kuvigharimia hivi vitabu ili vipelekwe mashuleni. Swali hapa ni je haya yote yanafanywa kwa maslahi ya nani ?

Kituko kingine kuondoa hadithi zote zenye kuhimiza uzalendo na mshikamano kwenye vitabu vya elimu ya msingi. Hadithi zinazo wamulika wala rushwa, mafisadi zimeondolewa kwenye mitaala. Zamani mtoto alikuwa anajua kuwa rushwa ni adui wa haki, ukweli daima, uongo ni mwiko. Leo hii hakuna uzalendo. Elimu imechakachuliwa. Ualimu sio wito tena. Na serikali inaamini kwa kuwabana waalimu kwa kuwaletea form za OPRAS na kuwalazimisha kwa kila hali huku wakiendelea kupata mishahara kiduchu, itaibuka na BRN ya kuchakachua.

Watanzania tuwe macho, elimu yetu inapelekwa kubaya.

Hiyo itakuwa Michepuko/combination mpya za BRN kuficha fedhuli ya masomo ya science kufanya vibaya

yani nakubaliana na wewe 100% ni kama njama za makusudi kuiharibu Elimu yetu na vichwa vikishakuwa vitupu ndio basi tena
 
What should be done?

Kingine tunaogopa mabadiriko.

Kuhusu vitabu, kila kitabu kina ubora wake, ukitaka kitabu bora, nunua kitabu cha aina ya Nelkon nk,

Taasisi inayo husika na masuala ya elimu Tz may be wamechoka, na suala la maslahi katika kampuni husika nalo linachangia.

Kitu kingine ni kwamba, mara nyingi huwa hatujari hata ubora wa uandishi wetu, tukiona kama unaeleweka basi tunafanya, mfano wewe hapo PHD umeiandika ndivyo sivyo, na hujali, you take it simple, sababu tumekuelewa ulitaka uandike nini, Phd.

Mfano mwingine, sisi watu wa sayansi, pH sacale huandikwa kwa herufi ndogo ya "p" na kubwa kwa "H" yaani hivi pH, lakini ukiangalia watu wengi wanavyo iandika utashangaa, and they dont care, si umeelewa?

Binafsi vitabu vya nyambari Nyangwine nilikuwa sipendi kabisaa kuvisoma, ila ndio vilivyopo na ndio vitabu vilivyo ruhusiwa na T.I.E, tufanyaje?

Tangazo la haki elimu liko sahihi, linatusaidia kujua mapungufu yetu katika sekta nzima ya elimu.

na hayo mapungufu ndio yanatakiwa kufanyiwa kazi haraka
 
Mimi nimeanza, na nimeanza na wacache wanao nizunguka. What about you?

lolest naona umeamua kuni challenge,to be honest i have done nothing labda uniambie ulivyoanza na mimi nijue naanzaje
 
Tumekwisha, ukisoma web ya wizara ya Elimu utaona pendekezo la kubadili michepuko kwa kidato cha kwanza mpaka cha sita. Kukuta HKP (history, Kiswahili, Physics) . CLF (chemistry, Language ,French ). HBK (history, biology, Kiswahili ) KLM (Kiswahili, Language, Maths ) na nyingine za aina hii.

Mkuu ni Michepuo(Combinations) sio Michepuko.
 
lolest naona umeamua kuni challenge,to be honest i have done nothing labda uniambie ulivyoanza na mimi nijue naanzaje
Angalia mazingira uliyopo, angalia sehem inayohitaji mabadiriko, angalia nafasi yako na uwezo wako katika kufanya mabadiriko then act on it.
 
Back
Top Bottom