What should be done?
Kingine tunaogopa mabadiriko.
K
Kuhusu vitabu, kila kitabu kina ubora wake, ukitaka kitabu bora, nunua kitabu cha aina ya Nelkon nk,
Taasisi inayo husika na masuala ya elimu Tz may be wamechoka, na suala la maslahi katika kampuni husika nalo linachangia.
Kitu kingine ni kwamba, mara nyingi huwa hatujari hata ubora wa uandishi wetu, tukiona kama unaeleweka basi tunafanya, mfano wewe hapo PHD umeiandika ndivyo sivyo, na hujali, you take it simple, sababu tumekuelewa ulitaka uandike nini, Phd.
Mfano mwingine, sisi watu wa sayansi, pH sacale huandikwa kwa herufi ndogo ya "p" na kubwa kwa "H" yaani hivi pH, lakini ukiangalia watu wengi wanavyo iandika utashangaa, and they dont care, si umeelewa?
Binafsi vitabu vya nyambari Nyangwine nilikuwa sipendi kabisaa kuvisoma, ila ndio vilivyopo na ndio vitabu vilivyo ruhusiwa na T.I.E, tufanyaje?
Tangazo la haki elimu liko sahihi, linatusaidia kujua mapungufu yetu katika sekta nzima ya elimu.
mambo yanabadilika sasa hivi kuna sayari nane sio tisa tena pitia kitabu cha physics kidato cha nne
wewe unatumia kitabu kipi...Mbili au Tatu...Basi mtanipa hicho kitabu chenu.
***Nge,Nge*Hakielimu.
Kweli mabadiliko yanahitajika.
Me nakumbuka nilipokuwa kidato cha tano vilikuja vitabu vya historia na geografia shuleni (darasani) vikatangazwa na wanafunzi wakavinunua, cha ajabu akaja mwalimu wa somo la geografia akadai eti vitabu vile ni vya danganya toto na havitakuwa na usaidizi kama ilivyodhaniwa awali.Sasa wanafunzi tukabaki tunajiuliza hivi vitabu vimechunguzwa na walimu wa masomo husika ndio vikapitishwa kwa mwalimu mkuu, sasa iweje tena viwe havina msaada kwetu .
Wadau wa JF nimefurahishwa na tangazo linalo rushwa na haki elimu dhidi ya mkanganyiko wa vitabu mashuleni.
"Kuna aina ngapi za misuli? "
Elimu yetu na kizazi kinachofuata imevamiwa. Huwa nashindwa kuelewa kama PhD zinatolewa kihalali hapa nchini au ni za kutunukiwa (sifa ). Kampuni kama za Nyambari Nyangwine zinawashushia heshima wasomi wetu. Kudhihirisha hili unaweza kuangalia vitabu alivyotoa Nyambari Kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha nne hasa Science na hisabati. Ukilinganisha vitabu hivi na vingine kama Principal of physics, aboot, nelkon, Lambert, artikson, understanding maths nk utaona mapungufu yanayosababishwa na waandishi wa kitanzania. Ajabu ni kwamba pamoja vitabu hivyo kuwa chini ya kiwango lakini vina mkono na baraka za serikali. Wakuu wa shule wanalazimishwa kuvigharimia hivi vitabu ili vipelekwe mashuleni. Swali hapa ni je haya yote yanafanywa kwa maslahi ya nani ?
Kituko kingine kuondoa hadithi zote zenye kuhimiza uzalendo na mshikamano kwenye vitabu vya elimu ya msingi. Hadithi zinazo wamulika wala rushwa, mafisadi zimeondolewa kwenye mitaala. Zamani mtoto alikuwa anajua kuwa rushwa ni adui wa haki, ukweli daima, uongo ni mwiko. Leo hii hakuna uzalendo. Elimu imechakachuliwa. Ualimu sio wito tena. Na serikali inaamini kwa kuwabana waalimu kwa kuwaletea form za OPRAS na kuwalazimisha kwa kila hali huku wakiendelea kupata mishahara kiduchu, itaibuka na BRN ya kuchakachua.
Watanzania tuwe macho, elimu yetu inapelekwa kubaya.
Hiyo itakuwa Michepuko/combination mpya za BRN kuficha fedhuli ya masomo ya science kufanya vibaya
What should be done?
Kingine tunaogopa mabadiriko.
Kuhusu vitabu, kila kitabu kina ubora wake, ukitaka kitabu bora, nunua kitabu cha aina ya Nelkon nk,
Taasisi inayo husika na masuala ya elimu Tz may be wamechoka, na suala la maslahi katika kampuni husika nalo linachangia.
Kitu kingine ni kwamba, mara nyingi huwa hatujari hata ubora wa uandishi wetu, tukiona kama unaeleweka basi tunafanya, mfano wewe hapo PHD umeiandika ndivyo sivyo, na hujali, you take it simple, sababu tumekuelewa ulitaka uandike nini, Phd.
Mfano mwingine, sisi watu wa sayansi, pH sacale huandikwa kwa herufi ndogo ya "p" na kubwa kwa "H" yaani hivi pH, lakini ukiangalia watu wengi wanavyo iandika utashangaa, and they dont care, si umeelewa?
Binafsi vitabu vya nyambari Nyangwine nilikuwa sipendi kabisaa kuvisoma, ila ndio vilivyopo na ndio vitabu vilivyo ruhusiwa na T.I.E, tufanyaje?
Tangazo la haki elimu liko sahihi, linatusaidia kujua mapungufu yetu katika sekta nzima ya elimu.
Mimi nimeanza, na nimeanza na wacache wanao nizunguka. What about you?na hayo mapungufu ndio yanatakiwa kufanyiwa kazi haraka
Tumekwisha, ukisoma web ya wizara ya Elimu utaona pendekezo la kubadili michepuko kwa kidato cha kwanza mpaka cha sita. Kukuta HKP (history, Kiswahili, Physics) . CLF (chemistry, Language ,French ). HBK (history, biology, Kiswahili ) KLM (Kiswahili, Language, Maths ) na nyingine za aina hii.
Angalia mazingira uliyopo, angalia sehem inayohitaji mabadiriko, angalia nafasi yako na uwezo wako katika kufanya mabadiriko then act on it.lolest naona umeamua kuni challenge,to be honest i have done nothing labda uniambie ulivyoanza na mimi nijue naanzaje