Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,794
- 5,352
Ile staili aliibatiza Jina TAKEU mkuuBongo flavor- Mr Nice- Kuku kapanda baiskeli
Mfano wa nyimbo hata moja moja tu wa hizo staili
Pamoja mkuu..hivi ni kweli michael jackson hakuwa na mpinzan kwenye huu muzik wa popPop- ddlovato: Tell me you love me
Sawa mkuu...ongeza na bullet ya quick rockaCrank...problem Cpwaa
Mkuu tupe mifano basi...hiyo opera ndio mziki gani..?? Wimbo mmoja wa opera pleaseJazz
country
Dancehall
Zouk
Afro pop
Pop
Opera
My heart will go on?? Hiyo ni pop kumbe mkuu??Country Music - Don Williams
1. Some broken heart never mend
2. You're my best friend
Pop music - Celine Dion
1. My heart will go on
2. To love you more
Pia kuna Sia- cheap Thrills
Rhumba music
1. Msongo ngoma - cheusi Magala/ Mangala
2. Les Wanyika - Safari sio kifo
3. Innoss B - Olandi
Taarabu - Jahazi Modern Taarabu
1. Nipe stara..
2. Hata bado hujanuna
Jazz ipoje mkuuJazz
country
Dancehall
Zouk
Afro pop
Pop
Opera
Rip cpCrank...problem Cpwaa