kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂hii passport yetu ya east african community unaweza kwenda nayo ulaya ?
mbona unacheka mkuu
Hiyo ya kizimkazi
kwahiyo kwa passport hiyo huwezi kuingia ulayaHiyo ya kizimkazi
Au basi🤔
Hizo ni hadhi tofauti tofauti za passport kutegemea na muhusika na nyadhifa, zote unaweza kusafiria, kinachomatter ni visa kutoka nchi husika.passport hii unaweza kwenda nayo ulaya
View attachment 3239233
Hiyo kama huna nauli ndio unaonyesha tu pale airport unajikuta uko SINGAPOREkwahiyo kwa passport hiyo huwezi kuingia ulaya