kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
πππhii passport yetu ya east african community unaweza kwenda nayo ulaya ?
mbona unacheka mkuuπππ
Hiyo ya kizimkazi
kwahiyo kwa passport hiyo huwezi kuingia ulayaHiyo ya kizimkazi
Au basiπ€πππ
Hizo ni hadhi tofauti tofauti za passport kutegemea na muhusika na nyadhifa, zote unaweza kusafiria, kinachomatter ni visa kutoka nchi husika.passport hii unaweza kwenda nayo ulaya
View attachment 3239233
Hiyo kama huna nauli ndio unaonyesha tu pale airport unajikuta uko SINGAPOREkwahiyo kwa passport hiyo huwezi kuingia ulaya