Kuna aina ngapi za ujibuji maswali uwapo chini ya sheria?

Kuna aina ngapi za ujibuji maswali uwapo chini ya sheria?

Mr Point

Member
Joined
Dec 14, 2016
Posts
28
Reaction score
15
Kuna aina ngapi za ujibuji maswali uwapo chini ya sheria? (Mfano uwapo mahakamani au kwenye mabaraza ya kata)
 
Japo hujafafanua vizuri ni majibu yapi unayoyaongelea.. Maana kuna majibu ya utetezi (WSD) kutokana na hati ya madai (plaint) kwa kesi za madai za kawaida na pia kutokana na maombi ya madai ya ardhi (land application) na pia kuna majibu ya maswali unayoulizwa mahamani au barazani wakati wa usikilizwaji wa shauri..
Fafanua vizuri uweze kupewa majibu sahihi
 
Back
Top Bottom