HTML:
majibu yangu yanasema detection of antibodies to hiv -1&2 in human serum

technique- 1 sd bioline

2 HIV 1 AND 2 DERERMINE(ABBOT IMMUNOCHROMATOGRAPHY

3 UNIGOLD

4 ELISA

RESULT NEGATIVE

SWALI MBONA MAJIBU YA KINA SITA YAPO TOFAUTI?
Bebii nina wasiwasi na hayo majibu yako kama ilivyo kwa yale ya akina Sinta na mwenzake, kwa sababu zifuatazo....
1) kawaida ukishapima kwa kipimo cha BIOLINE kikiwa NEGATIVE, hakuna kipimo kingine kinachopimwa, sasa wewe vimepimwa vyote BIOLINE pamoja na DETERMINE.. Kama BIOLINE kikiwa POSITIVE ndo unahakikisha kwa kutumia DETERMINE. UNIGOLD ni cha kukata mzizi wa fitina yaani BIOLINE ikiwa POSITIVE na DETERMINE ikiwa NEGATIVE ndo kinatumika cha UNIGOLD.Majibu yake ndo yatakuwa majibu sahihi.
2) Kwa kawaida majibu ya HIV mgonjwa haandikiwi Form kama yale ya malaria n.k, ila anapewa tu kikadi kidogo na kuambiwa arudi baada ya miezi mitatu kama ni negative au anapewa barua ya rufaa ya kwenda kituo cha walioathirika kama ni positive. Majibu hayaandikwi popote kwenye karatasi anayopewa mgonjwa bali anaambiwa tu kwa mdomo!
Tukirudi ktk suala lako naona liko tofauti na yote niliyoyaeleza hapo juu, hivyo nna wasiwasi kubwa na majibu yako!!!