Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok sawaKuna Mwanamke Anakuomba Hela Kwakua Ana Shida..
Kuna Mwanamke Anakuomba Hela Ili Kukukomoa..
Kuna Mwanamke Anakuomba Hela Ili Kukupima..
[emoji1491][emoji1491]Hata mimi huwa nawanyima kuwapima
Hata wanaume huwapa wanawake pesa iliKuna Mwanamke Anakuomba Hela Kwakua Ana Shida..
Kuna Mwanamke Anakuomba Hela Ili Kukukomoa..
Kuna Mwanamke Anakuomba Hela Ili Kukupima..
Acheni ubahili dahHata wanaume huwapa wanawake pesa ili
Mosi. Ili watatue shida zao
Pili. ili kuwakomoa (anaomba nyingi anapewa kidogo)
Tatu. ili kuwapima anaomba kidogo anapewa nyingi
Pia wanaume huwanyima wa ili
Mosi. Ili waendelee kuteseka (wajifunze kutokuwa tegemezi)
Pili. Kuwakomoa (hii huwahusu zaidi ombaomba)
Tatu. Ili kuwapima (kama ana reaction gani akinyimwa)
Safi sana.Sipo popote
Hakuna cha kubarikiwa wala nini, hawezi sema kundi ambalo yupo kwani ye ni mjinga?Safi sana.
Ubarikuwe[emoji120]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna cha kubarikiwa wala nini, hawezi sema kundi ambalo yupo kwani ye ni mjinga?
Au nimesema uongo ndugu yangu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]