Kuna aina tatu ya wanawake wanaoomba hela

Kuna mmoja hapa kaingia kwenye ile michezo ya wanawake ambayo wanakusanya fedha wanampa mmoja, kesho tena wanampa mwingine mpaka wanaisha

Sasa nimejikuta nimeingizwa huko by default maana kila baada ya cku mbili tatu utasikia baby naomba hela ya mchezo.
 
Hiyo ni kawaida kwa wanaume wengi wanafanyiwa hivyo
 
Ngoja waje waseme wanaomba kwa sababu ipi kati ya hizo 3 au kama kuna ya ziada wataongeza!
 
Back
Top Bottom