Kwakweli inawezekana ulichosema kina ukweliAu nimesema uongo ndugu yangu?
Siamini Kama unanionea wivu mkaka weeeHakuna cha kubarikiwa wala nini, hawezi sema kundi ambalo yupo kwani ye ni mjinga?
Hiyo ni kawaida kwa wanaume wengi wanafanyiwa hivyoKuna mmoja hapa kaingia kwenye ile michezo ya wanawake ambayo wanakusanya fedha wanampa mmoja, kesho tena wanampa mwingine mpaka wanaisha
Sasa nimejikuta nimeingizwa huko by default maana kila baada ya cku mbili tatu utasikia baby naomba hela ya mchezo.
Haupo katika kundi lolote hapo??
Kuna wengine hawaombi helaaKuna Mwanamke Anakuomba Hela Kwakua Ana Shida..
Kuna Mwanamke Anakuomba Hela Ili Kukukomoa..
Kuna Mwanamke Anakuomba Hela Ili Kukupima..
Mzigo gani Tena siwanasema mapenzi pesaAnaweza asikuombe wewe akaniomba mimi lakini mzigo tukala wote
Na sikufai kweli.Wewe kumbe hunifai maana kuombwa raha
Hakika mkuuKuna Mwanamke Anakuomba Hela Kwakua Ana Shida..
Kuna Mwanamke Anakuomba Hela Ili Kukukomoa..
Kuna Mwanamke Anakuomba Hela Ili Kukupima..
Kwani nimekukaribisha?Mara paaah si nikaghairi kuja pm kwako
Kuna wale anavuta nguo na kukuita ..Kuna Mwanamke Anakuomba Hela Kwakua Ana Shida..
Kuna Mwanamke Anakuomba Hela Ili Kukukomoa..
Kuna Mwanamke Anakuomba Hela Ili Kukupima..
Eee we dada! Kweli kabisa kabisa me nikuone wivu kweli?Siamini Kama unanionea wivu mkaka weee