Kuna aina ya Ukristo ambayo ni ushetani

Hatari!
 
Aisee kuna jamaa yetu aliowa mjeda hawa mabaka mabaka bidada kabezi huko kanisani humwambii kitu. Mshahara karibu woote wanapeleka huko mume akimwambia anamjibu Zaka, nadhiri, malimbukuko, sadaka basi taflani ndani. Mwisho jamaa kamwacha bidada aendelee na maisha yake na yeye kala kona ndoa chali wamegawana fito hakuna kujenga nyumba moja teena. Ni mwaka wa sita sasa toka watengane.
 
Umeongea yote..,wanafanana tabia. Kuna mmoja nilikuwa sijui kama ni hao nilikuwa namuona mstaarabu mwenye hekima, akata kuniletea pigo hizo..,nikapiga chini.
 
Kamshtakie kwa mchungaji wake
 
Rafiki yangu kipenzi kabisa,Mke wake alikuwa na tabia ya kwenda kanisani kila siku badaye akawa anabadilika kitabia.Jamaa aligundua mke wake anahusiano was kimapenzi na mwanakwaya mwenzake.
Ni mwaka sasa toka watengane.
 
Kupotoka kwa mke wako kimaadili ya ndoa na kikristo usiu type ukristo kuwa kuna ukristo wa kishetani. Huo alionao mkeo sio ukristo, ni ushetani unaouona wewe. Kama nawe ungekuwa mnaabudu pamoja usingeona huo ushetani. Hebu jaribu kuungana na mke wako uwe unasali pamoja ili picha ya ushetani ikutoke. Ukristo ni mmoja hakuna aina nyingine zaidi ya upotokaji tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…